Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

Watu mliobutuliwa na Magufuli mkaachwa bila urithi mna hasira sana.
 

Sema tu uovu wa baba haumpati mtoto, ila ilitakiwa waombe radhi kwa niaba ya baba yao kwa matendo yake.
 

Jamaa hatetei wizi wa Zakaria, Bali anafurahia alivyo washughulikia wale watu wasiojulikana.
 
Hasira ya Nini?. Zakaria alifanya kitendo Cha kishujaa. Kuwatia ulemavu wa kudumu wale majambazi.
Waache waelelee kuendekeza ushamba itaonekana hao hawabadiliki wamegongwa mhuri wa moyo kwenye vipaji vya nyuso zao.
 
Jamaa hatetei wizi wa Zakaria, Bali anafurahia alivyo washughulikia wale watu wasiojulikana.
econonist watu kama akina Zakaria ingekuwa China wangekufa kwa kunyongwa. Nadhani ngoja tusubiri, hiki
kizazi ambacho tunawaibia sasa na kuwadanganya ndicho kitakuja kuchukua hatamu za uongozi, nakuhakikishia kuna baadhi ya viongozi watashitakiwa wakiwa marehemu na watoto wao watalazimika kujibu na kulipa mabaya waliotenda wazazi wao. Mimi na wewe we are corrupt tukubali kabisa, ila kizazi kitakuja kinachojua uadilifu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…