bado na wewe unatafutwa mwoga wa kwenye keyboardKwa hali ilivyo bila kujilinda utakuwa ujinga
Haka ka paragraph kamejaa usanii sana!Amesema kabla ya tukio hilo, maofisa watano wa Usalama wa Taifa walifika katika kituo cha mafuta kinachomilikiwa na Zakaria kwa nia kujaza mafuta kwenye gari lao, “ wenzao wawili walishuka kwenye gari ghafla wakashambuliwa kwa risasi na Zakaria aliyekuwepo eneo hilo.”
Wewe mwenyewe hujatekwa wala kuteswa na hudindishi!!Muulize kama anadindisha? Aliteswa mateso daraja la kwanza
Aisee hii kali.Ajengewe sanamu gani Peter zakaria. zakaria ni huyu tajiri aliyewatesa watu wa Tarime Kwa kuwaua ,aliyewadhulumu wa Mali zao mchana kweupe, aliyewasingizia watu kesi na kuwaweka kolokoloni.zakaria huyu aliyewahi kuwachapa viboko abiria waliokataa kushuka kwenye Busi lake baada ya kukatisha safari ghafla instead ya kuwafikisha sirari akalazimisha waishie Tarime mjini , zakaria huyu mkepa kodi na mfanyabiashara ya magendo, Zakaria huyu aliyepora na kujipatia Mali na majumba na ya chama cha ushirika cha Nyanza Jijini mwanza , zakaria huyu mwana CCM kindakindaki anayetumia jina mwamvuli wa chama kujinufaisha kiuchumi etc. Sanamu inajengewa watu kama Peter zakaria
Aisee!“Hatujui lengo la waliojaribu kumteka mdogo wangu Zakaria, lakini tunaamini hawakuwa na nia njema ndiyo maana walifika usiku bila taarifa kama wanaokwenda kukamata jambazi,” alisema Chomete.
“Tunamshukuru Mungu aliweza kupambana na watu kujitokeza kumsaidia. Pengine naye angepotea kama wengine wanaoripotiwa kupotea katika siku za hivi karibuni,” alisema.
aiseeHiyo nayo ioneniView attachment 800180
Mmmhh ""mbona haiingii akilini"". MTU awapige risasi " hao wana usalama"" bila sababu "":?? ..hapo itakuwa kuna " jambo tusilolijua "" sawa na kiza kinene""..
Swali:Ilikuwaje hao usalama wa taifa waelekee ofisini kwa Zakaria bila appointment?
Magufuli huko aliko hatomsahau Zakaria. Ni kiboko yakeZakaria Zakaria Zakaria
Alimfanya nini mkuu?Magufuli huko aliko hatomsahau Zakaria. Ni kiboko yake
Soma post namba 1Alimfanya nini mkuu?