Tarime: Mbunge aamua kupambana na Corona kwa vitendo, asambaza Sanitizer na vifaa vya kunawia Jimbo zima

Hizi ndio akili tunazozitaka sasa,sio kila kitu kupinga tu na kugombana na serikali hata kama hakukua na ulazima. Big up mbunge,wapinzani wakiwa hivi mbona maendeleo yatapatikana haraka sana.

macson
Hivi tukikuambia njama za kumkamata mbunge kwa kosa la kusambaza hivi vifaa zinapangwa utaamini ?
 
Hizi ndio akili tunazozitaka sasa,sio kila kitu kupinga tu na kugombana na serikali hata kama hakukua na ulazima. Big up mbunge,wapinzani wakiwa hivi mbona maendeleo yatapatikana haraka sana.

macson
Huwezi kufanya hivyo kila siku,pesa anatoa wapi?Halafu mnataka wasiikosoe serikali,yaani kila kitu iwe sawa na wao wajikite kuhudumia wanamchi kwa fedha zao,hakuna siasa za hivyo duniani!
 
Ungemwambia kwanza mama janet magufuli aliyeenda kutoa msaada wa sabuni na nguo kwa watoto yatima akiwa na makamera kibao na tukio likawa live!
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha!
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Reactions: UCD
Ungemwambia kwanza mama janet magufuli aliyeenda kutoa msaada wa sabuni na nguo kwa watoto yatima akiwa na makamera kibao na tukio likawa live!
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha!
Kwani huyo ni Mbunge tunaongelea wabunge wewe umekurupuka kama fisimaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…