navyokujuwa wewe angekuwa kafanya wa ccm ungeponda kama vile kafanya kiroja haya mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
navyokujuwa wewe angekuwa kafanya wa ccm ungeponda kama vile kafanya kiroja haya mama
asante kwa kunijuanavyokujuwa wewe angekuwa kafanya wa ccm ungeponda kama vile kafanya kiroja haya mama
Mkuu wa mkoa hajapiga marufuku hivyo vidubwasha kutumika?
Mzee uko dunia ya wapi? Mbunge alipeleka misaada shuleni kilichotokea... Allah atunusuruAkamatwe kwa kosa gani? Tusiingize siasa katika mambo ya kitaifa kama haya. Mbunge kafanya kitu kwa maslahi ya watu wa jimbo lake; siyo kwa maslahi ya watu wa chama chake. Hivi ndivyo Watanzania wote inatubidi kufanya. Serikali inabidi kumpongeza mbunge huyu (hata kama ni kutoka upinzani) na iwahimize wabunge wengine waige mfano huo. Vivyo hivyo, wanachama wa upinzani wasibeze juhudi zinazochukuliwa na serikali kukabili tatizo hili eti tu kwa sababu serikali inaongozwa na CCM.
Huwajui vizuri wewe, Eti madawati hayana ubora ila yangepelekwa na mbunge wa ccm yangekuwa grade1Kama kweli kuna misaada kama hiyo iliyokataliwa kwa sababu tu msaada ulikuwa unatolewa na upinzani, hilo ni kosa linalobidi kukemewa. Kwa upande mwingine nilisikia wakati fulani mtu wa upinzani alitaka kutoa madawati kwenye kata fulani (sikumbuki wapi) serikali ikamkataza. Kilichokuja kugundulika ni kwamba madawati yaliyokataliwa yalikuwa hayakidhi kabisa kiwango kinachohitajika. Mtu huyo alitaka kiki ya kisiasa tu akaitangazia nchi na kuita waandishi wa habari waone 'msaada' anaotoa. Ni halali kwa Serikali kukataa misaada kama hiyo.
Tafuta mwana ccm aliyepongeza hili tukionavyokujuwa wewe angekuwa kafanya wa ccm ungeponda kama vile kafanya kiroja haya mama
Hukumbuki waliwahi kukataa madawati yaliyotolewa na Ester Bulaya ?! Tena kwa kutumia mfuko wa Jimbo !!Siwezi kuamini na nitawaona wanaofanya hivyo ni wajinga wa hali ya juu,kwasasa tunahitaji msaada kwaajili ya kua salama na sio siasa za majitaka zinazofanywa na wahuni wachache.
macson
We katika maelezo yangu umeona nimejiexcludi eti eee?? Afu uyo si mzungu tafadhali angalia vizuriWewe ni mzungu siyo? Ndiyo maana hata DM umeweka picha ya mzungu (Nguruwe) umekuwa brainwashed na hao wazungu au hujawahi kuishi kwao hao mabwana zako wazungu.
uongo wa kizandiki utakusaidia nini ?Na nyinyi kuuana tu!
Kama alivyo na shida Basha wako!!