Tarime: Mbunge aamua kupambana na Corona kwa vitendo, asambaza Sanitizer na vifaa vya kunawia Jimbo zima

Hakukamatwa kweli?
Akamatwe kwa kosa gani? Tusiingize siasa katika mambo ya kitaifa kama haya. Mbunge kafanya kitu kwa maslahi ya watu wa jimbo lake; siyo kwa maslahi ya watu wa chama chake. Hivi ndivyo Watanzania wote inatubidi kufanya. Serikali inabidi kumpongeza mbunge huyu (hata kama ni kutoka upinzani) na iwahimize wabunge wengine waige mfano huo. Vivyo hivyo, wanachama wa upinzani wasibeze juhudi zinazochukuliwa na serikali kukabili tatizo hili eti tu kwa sababu serikali inaongozwa na CCM.
 
Huijui ccm wewe .
 
Hivi tukikuambia njama za kumkamata mbunge kwa kosa la kusambaza hivi vifaa zinapangwa utaamini ?
Siwezi kuamini na nitawaona wanaofanya hivyo ni wajinga wa hali ya juu,kwasasa tunahitaji msaada kwaajili ya kua salama na sio siasa za majitaka zinazofanywa na wahuni wachache.

macson
 
Huwezi kufanya hivyo kila siku,pesa anatoa wapi?Halafu mnataka wasiikosoe serikali,yaani kila kitu iwe sawa na wao wajikite kuhudumia wanamchi kwa fedha zao,hakuna siasa za hivyo duniani!
Nadhani haujasoma vizuri ukaelewa mkuu,soma tena.

macson
 
Kwani huyo ni Mbunge tunaongelea wabunge wewe umekurupuka kama fisimaji!
Jamaa anashida ya kutokusoma/kuelewa vizuri hata mimi kuna sehemu amenijibu bila kuelewa vizuri.[emoji3][emoji3][emoji3]

macson
 
Na wao muda si mlefu watafanyayao,huwa hawapendi kupitwa na jambo.
Sioni ubaya kuiga jambo jema,watu wenye akili watafurahi kuona wabunge wengine wameiga na kuzifanya jamii zao salama.

macson
 
Tunafanya kimya kimya siyo kuleta madumu kumi ya maji unatangazia dunia nzima!
Mbona ninyi hata mgahawa bosi wenu anakuwa live kwenye Tv ana zindua?
 
Akamatwe kwa kosa gani? Tusiingize siasa katika mambo ya kitaifa kama haya. Mbunge kafanya kitu kwa maslahi ya watu wa jimbo lake; siyo kwa maslahi ya watu wa chama chake. Hivi ndivyo Watanzania wote inatubidi kufanya. Serikali inabidi kumpongeza mbunge huyu (hata kama ni kutoka upinzani) na iwahimize wabunge wengine waige mfano huo. Vivyo hivyo, wanachama wa upinzani wasibeze juhudi zinazochukuliwa na serikali kukabili tatizo hili eti tu kwa sababu serikali inaongozwa na CCM.
Kuna mbunge wa upinzani aliwahi kukamatwa kwa kwenda kutoa msaada shuleni kisa hakuwa na kibali!Pia kule kagera kipindi cha tetemeko viongozi wa upinzani walizuiwa kwenda kutoa misaada!Ndio maana nikauliza kama hakukamatwa huyu mbunge!
 
Sioni ubaya kuiga jambo jema,watu wenye akili watafurahi kuona wabunge wengine wameiga na kuzifanya jamii zao salama.

macson
Hakuna ubaya kuiga jambo jema.ila isiwe kusaka kiki,kwakuwa mwenzangu kafanya na mimi nifanye.kama utakumbuka yalio tokea segerea walifanya hivyohivyo kwa kuwa upande wapili wamefanya basi na sisi tufanye,mwishoe ikawa aibu.
 
Kwani huyo ni Mbunge tunaongelea wabunge wewe umekurupuka kama fisimaji!
Hahahahahaaa,kwahiyo kwa mbunge inatakiwa iwe kimya kimya ila kwa mama janet inatakiwa iwe na makamera juu!Daaah,aliyewaroga kafa kwakweli!
 
Back
Top Bottom