Hii mzee kichwa sana, ingawa inaonekana anakumbuka rangi ya kijani vile maana ni vigumu maskini kuishi kwenye majumba ya magate.Atuletee na sie wazee, wanasema sie ndio tuko hatari zaidiView attachment 1400624
Kama kweli kuna misaada kama hiyo iliyokataliwa kwa sababu tu msaada ulikuwa unatolewa na upinzani, hilo ni kosa linalobidi kukemewa. Kwa upande mwingine nilisikia wakati fulani mtu wa upinzani alitaka kutoa madawati kwenye kata fulani (sikumbuki wapi) serikali ikamkataza. Kilichokuja kugundulika ni kwamba madawati yaliyokataliwa yalikuwa hayakidhi kabisa kiwango kinachohitajika. Mtu huyo alitaka kiki ya kisiasa tu akaitangazia nchi na kuita waandishi wa habari waone 'msaada' anaotoa. Ni halali kwa Serikali kukataa misaada kama hiyo.Kuna mbunge wa upinzani aliwahi kukamatwa kwa kwenda kutoa msaada shuleni kisa hakuwa na kibali!Pia kule kagera kipindi cha tetemeko viongozi wa upinzani walizuiwa kwenda kutoa misaada!Ndio maana nikauliza kama hakukamatwa huyu mbunge!
kwa muandiko huu buku 7 hupati.
hahaha nongwa imekukaba kwenye koo unahaha.Hivi si ni nyie bavicha mlikuwa mnamkejeli Ummy alipowahimiza watu kunawa mikono?
Sent using Jamii Forums mobile app
Madumu ya maji wewe unasema sanitizer!!
Yaani dawati liwe chini ya kiwango kuliko jiwe analokalia mtoto?Huwezi kuwa seriousKama kweli kuna misaada kama hiyo iliyokataliwa kwa sababu tu msaada ulikuwa unatolewa na upinzani, hilo ni kosa linalobidi kukemewa. Kwa upande mwingine nilisikia wakati fulani mtu wa upinzani alitaka kutoa madawati kwenye kata fulani (sikumbuki wapi) serikali ikamkataza. Kilichokuja kugundulika ni kwamba madawati yaliyokataliwa yalikuwa hayakidhi kabisa kiwango kinachohitajika. Mtu huyo alitaka kiki ya kisiasa tu akaitangazia nchi na kuita waandishi wa habari waone 'msaada' anaotoa. Ni halali kwa Serikali kukataa misaada kama hiyo.
Umemuuliza swali zuri. Watu hawafikirii hata maswali ya kuuliza.unataka tulete fuso zote hapa jf ?
Ulitaka yaandikwe jina la mume wako?Hayo madumu kwa nini yameandikwa jina lake? hizi ni kampeni anafanya kutafuta kiki
Njama zishaanza !Ubora wa hivyo vifaa, umethibitishwa???
Mzee shikamoo , wazo lako linafanyiwa kaziWaanze na sisi wazee wenye visukari maana ndo tuko kweny hatari kubwa.
ndio jimbo lakeHeche wazo zuri lakini tatizo jina ila iko powa naziona hapa sirari na nyamongo tu kwa maana ya tarime vijijini
Na nyinyi kuuana tu!
Tz kiujumla ujinga ni mkubwa kuliko tatizo lolote lile, na ndiyo maana imani yetu kubwa iko kwa serikali iloliyoko madarakani, imepelekea hata wawakilishi wetu majimboni wakihoji na kukosoa wakadhalilishwa wananchi tunaona sawa tu, yaani kiujumla matz hayajui maana siasa ya vyama vingi na hatujui kwanini vyama hivyo vipoHuwezi kufanya hivyo kila siku,pesa anatoa wapi?Halafu mnataka wasiikosoe serikali,yaani kila kitu iwe sawa na wao wajikite kuhudumia wanamchi kwa fedha zao,hakuna siasa za hivyo duniani!
Kabisa,hatujiulizi kwanini nchi nyingi zimechagua mfumo wa vyama vingi na msingi wake ni nini!Tungelijua hilo nadhani mambo mengi yangebadilika sana!Sasa kama watu wanafikiri vyama vya upinzani ni sawa na Corona na kwamba vitokomezwe,hapo unapata picha ya ukubwa wa tatizo la uelewa hadi kwa viongozi!Tz kiujumla ujinga ni mkubwa kuliko tatizo lolote lile, na ndiyo maana imani yetu kubwa iko kwa serikali iloliyoko madarakani, imepelekea hata wawakilishi wetu majimboni wakihoji na kukosoa wakadhalilishwa wananchi tunaona sawa tu, yaani kiujumla matz hayajui maana siasa ya vyama vingi na hatujui kwanini vyama hivyo vipo
Wewe ni mzungu siyo? Ndiyo maana hata DM umeweka picha ya mzungu (Nguruwe) umekuwa brainwashed na hao wazungu au hujawahi kuishi kwao hao mabwana zako wazungu.Tz kiujumla ujinga ni mkubwa kuliko tatizo lolote lile, na ndiyo maana imani yetu kubwa iko kwa serikali iloliyoko madarakani, imepelekea hata wawakilishi wetu majimboni wakihoji na kukosoa wakadhalilishwa wananchi tunaona sawa tu, yaani kiujumla matz hayajui maana siasa ya vyama vingi na hatujui kwanini vyama hivyo vipo