Tarime: Mbunge aamua kupambana na Corona kwa vitendo, asambaza Sanitizer na vifaa vya kunawia Jimbo zima

Mzee uko dunia ya wapi? Mbunge alipeleka misaada shuleni kilichotokea... Allah atunusuru
 
Huwajui vizuri wewe, Eti madawati hayana ubora ila yangepelekwa na mbunge wa ccm yangekuwa grade1
 
Wewe ni mzungu siyo? Ndiyo maana hata DM umeweka picha ya mzungu (Nguruwe) umekuwa brainwashed na hao wazungu au hujawahi kuishi kwao hao mabwana zako wazungu.
We katika maelezo yangu umeona nimejiexcludi eti eee?? Afu uyo si mzungu tafadhali angalia vizuri
 
Nakala iwafikie UVCCM maandazi popote walipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…