Tarime raha sana, chai ya asubuhi ni zaidi ya chakula cha mchana

Tarime raha sana, chai ya asubuhi ni zaidi ya chakula cha mchana

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Mambo ya Tarime Hayo!

Screenshot_20200131-113711.png
 
ulafi huo. Wakurya wengi ni walafi sana wa nyama.

Natamani kujua ni kwanini Wakurya ni walafi wa chakula.
 
ulafi huo. Wakurya wengi ni walafi sana wa nyama.

Natamani kujua ni kwanini Wakurya ni walafi wa chakula.
Sio ulafi mkuu, huku ni kudumisha kuwa mwafrika halisi, tangu enzi za mababu zetu hii ndio ulikuwa breakfast, nakukumbusha tu hapo watu wametoka kulima heka za kutosha,
 
Huu ulaji w kushare mabakuli,katika Zama hizi za Corona virusi Kuna usalama kweli?
 
Ndugu zanguni wa kutuita walafi, ifike mahala mtambue angalau mazuri yetu. Kitu kama hikihiki kikitokea mbeya ama usukumani kinaonekana kawaida ila kwetu inakuwa nongwa. Zamani ilijulikana ni wakurya pekee ndio mabingwa wa kucharanga wenzao mapanga, leo hii ni karibu tanzania nzima. Tukio la mauaji likitokea sehemu nyingine linaonekana kawaida ila huku inakuwa habari ya zama na zama. Mtuache na ulafi wetu enyi wanaume wa dar mnaofikiri kula kidogo hata kama haujashiba ndio ustaarabu.
 
Breakfast ya kifalme. Ila sijaona mtindi hapo
 
Back
Top Bottom