Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Mambo ya Tarime Hayo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heavy breakfast😁😁😁😁Mambo ya Tarime Hayo!
Sio ulafi mkuu, huku ni kudumisha kuwa mwafrika halisi, tangu enzi za mababu zetu hii ndio ulikuwa breakfast, nakukumbusha tu hapo watu wametoka kulima heka za kutosha,ulafi huo. Wakurya wengi ni walafi sana wa nyama.
Natamani kujua ni kwanini Wakurya ni walafi wa chakula.