TARURA: Ni kweli Daraja la Mto Mngeta lilitumia Tsh. milion 31

TARURA: Ni kweli Daraja la Mto Mngeta lilitumia Tsh. milion 31

Ukihesabu idadi ya mbao, saruji, mawe, milingoti, misumari, kifusi, ufundi na 10% inazidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1873657
Fundi/engineer na Mbunge walohusika na ujenzi wa daraja hili ni kama wote wametoka Ulaya hawajui nature ya mito yetu wakati wa masika magogo mengi hupita kutoka juu. Angalia namna nguzo zilivyowekwa hapo chini karibu karibu zile kubwa za katikati na hizo za pembeni ndogo ndogo hakuna sehemu ambapo gogo linawezakupita. Hivyo, uwezekano wa daraja hili kung'oka wakati wa masika ni mkubwa sana sio tu kwa sababu ya kutokuwa imara bali ni pamoja na takataka na magogo kuzuia wakati wa masika. Kifupi kipindi cha masika hili daraja litakuwa kama Dam/bwawa la kuzalisha umeme. Hata hivyo, hongera ulikuwa na nia njema japo umepiga sanaaaa
 
Back
Top Bottom