davejillaonecka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 697
- 749
Nyie hamjajua ,. Mbao moja ni laki moja[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbao zimetoka Cuba,Dah angesema basi bei ya hizo mbao na magogo [emoji3][emoji3]
Bila kingo hatari sana kwa mtembea kwa miguu au gari itakayokuwa inavuka.Halina kingo, tani 10 wamejaribu kabla hawajatamka ama ni nadharia
waafrika tuna michezo ya ajabu kweli....Ukihesabu idadi ya mbao, saruji, mawe, milingoti, misumari, kifusi, ufundi na 10% inazidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1873657
hapo walevi wataliwa na mamba mno.....ukipepesuka tuu....chubwiiiBila kingo hatari sana kwa mtembea kwa miguu au gari itakayokuwa inavuka.
Isitoshe, hizo mbao zilivyokaa inabidi mtu awe makini sana kuhakikisha tairi za gari hazikanyagi pembeni; tofauti na hivyo ni rahisi sana kutumbukia mtoni.
Ni aibu sana kwa mhandisi kutetea kazi ya hovyo kiasi hicho.
Yani hawa wasenge wameshindwa hata kuzichonga vizuri hizo mbao walau zilingane humo pembe zoni?SIKU Moja baada ya Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kutembelea Daraja la Mto Mngeta lililogharimu Sh Milioni 30 hatimaye Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo.
Mhandisi Robert Magogo ambaye ni Meneja wa TARURA Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi wa Ujenzi wa mradi huo akisema gharama zilizotajwa ni sahihi huku akieleza kuwa lina uwezo wa kudumu kwa miaka 10 hadi 15.
Akifafanua ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi Magogo amesema Daraja hilo lina urefu wa Mita 40, kina cha Mto kikiwa ni Mita 4, upana wake Mita 5 na hivyo kufanya gharama za Daraja kuwa Milioni 27.
Mhandisi Magogo ameeleza kuwa gharama ya barabara kuingia na kutoka darajani ni Sh Milioni 4 na kufanya jumla yake iwe Sh Milioni 31.
" Urefu wa wa nguzo zilizotumika ni Mita 7 na unene wake ni Mita 0.5, Mbao ni Inchi 3 kwa 8 na Inchi 3 kwa 10 na aina ya Mti ambao Mbao zake zimetumika ni za Mti aina ya Mkarati, niwahakikishie kuwa daraja hili ni imara na litakua na uwezo wa kupitisha Tani 10 na litadumu kwa miaka 10 hadi 15," Amesema Magogo.
Kwa upande wake Mbunge Kunambi amesema Daraja hilo litaokoa uhai wa wananchi ambao kwa muda mrefu wamekua wakipata changamoto ya kivuko kwani Mto huu una mamba ambao wamekua wakisababisha Vifo vya wananchi wetu," Amesema Kunambi.
Mbunge wa Jimbo la Mlimba Morogoro, Godwin Kunambi (wa pili kutoka kushoto) akiwa kwenye Mtumbwi akivuka Mto Mngeta Februari mwaka huu ambapo aliitembelea Mto huo ukiwa hauna kivuko![]()
Picha zikimuonesha Mbunge Jimbo la Mlimba Morogoro, Godwin Kunambi akipita juu ya daraja la muda ambalo amefanikisha ujenzi wake. Daraja hili litakua na uwezo wa kupitisha Tani 10 na litadumu kwa muda wa miaka 10 hadi 15.![]()
![]()
😁😀😂😃😃😄😄😅😆😆😃😂😁😁Dah angesema basi bei ya hizo mbao na magogo [emoji3][emoji3]
Hili hata laki saba hiishiSIKU Moja baada ya Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kutembelea Daraja la Mto Mngeta lililogharimu Sh Milioni 30 hatimaye Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo.
Mhandisi Robert Magogo ambaye ni Meneja wa TARURA Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi wa Ujenzi wa mradi huo akisema gharama zilizotajwa ni sahihi huku akieleza kuwa lina uwezo wa kudumu kwa miaka 10 hadi 15.
Akifafanua ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi Magogo amesema Daraja hilo lina urefu wa Mita 40, kina cha Mto kikiwa ni Mita 4, upana wake Mita 5 na hivyo kufanya gharama za Daraja kuwa Milioni 27.
Mhandisi Magogo ameeleza kuwa gharama ya barabara kuingia na kutoka darajani ni Sh Milioni 4 na kufanya jumla yake iwe Sh Milioni 31.
" Urefu wa wa nguzo zilizotumika ni Mita 7 na unene wake ni Mita 0.5, Mbao ni Inchi 3 kwa 8 na Inchi 3 kwa 10 na aina ya Mti ambao Mbao zake zimetumika ni za Mti aina ya Mkarati, niwahakikishie kuwa daraja hili ni imara na litakua na uwezo wa kupitisha Tani 10 na litadumu kwa miaka 10 hadi 15," Amesema Magogo.
Kwa upande wake Mbunge Kunambi amesema Daraja hilo litaokoa uhai wa wananchi ambao kwa muda mrefu wamekua wakipata changamoto ya kivuko kwani Mto huu una mamba ambao wamekua wakisababisha Vifo vya wananchi wetu," Amesema Kunambi.
Mbunge wa Jimbo la Mlimba Morogoro, Godwin Kunambi (wa pili kutoka kushoto) akiwa kwenye Mtumbwi akivuka Mto Mngeta Februari mwaka huu ambapo aliitembelea Mto huo ukiwa hauna kivuko![]()
Picha zikimuonesha Mbunge Jimbo la Mlimba Morogoro, Godwin Kunambi akipita juu ya daraja la muda ambalo amefanikisha ujenzi wake. Daraja hili litakua na uwezo wa kupitisha Tani 10 na litadumu kwa muda wa miaka 10 hadi 15.![]()
![]()
Seriously? TZS 31 million kwa ninachoona kwenye picha? Dah! Haya bwana, Kazi iendelee!SIKU Moja baada ya Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kutembelea Daraja la Mto Mngeta lililogharimu Sh Milioni 30 hatimaye Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo.
Mhandisi Robert Magogo ambaye ni Meneja wa TARURA Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi wa Ujenzi wa mradi huo akisema gharama zilizotajwa ni sahihi huku akieleza kuwa lina uwezo wa kudumu kwa miaka 10 hadi 15.
Akifafanua ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi Magogo amesema Daraja hilo lina urefu wa Mita 40, kina cha Mto kikiwa ni Mita 4, upana wake Mita 5 na hivyo kufanya gharama za Daraja kuwa Milioni 27.
Mhandisi Magogo ameeleza kuwa gharama ya barabara kuingia na kutoka darajani ni Sh Milioni 4 na kufanya jumla yake iwe Sh Milioni 31.
" Urefu wa wa nguzo zilizotumika ni Mita 7 na unene wake ni Mita 0.5, Mbao ni Inchi 3 kwa 8 na Inchi 3 kwa 10 na aina ya Mti ambao Mbao zake zimetumika ni za Mti aina ya Mkarati, niwahakikishie kuwa daraja hili ni imara na litakua na uwezo wa kupitisha Tani 10 na litadumu kwa miaka 10 hadi 15," Amesema Magogo.
Kwa upande wake Mbunge Kunambi amesema Daraja hilo litaokoa uhai wa wananchi ambao kwa muda mrefu wamekua wakipata changamoto ya kivuko kwani Mto huu una mamba ambao wamekua wakisababisha Vifo vya wananchi wetu," Amesema Kunambi.
Mbunge wa Jimbo la Mlimba Morogoro, Godwin Kunambi (wa pili kutoka kushoto) akiwa kwenye Mtumbwi akivuka Mto Mngeta Februari mwaka huu ambapo aliitembelea Mto huo ukiwa hauna kivuko![]()
Picha zikimuonesha Mbunge Jimbo la Mlimba Morogoro, Godwin Kunambi akipita juu ya daraja la muda ambalo amefanikisha ujenzi wake. Daraja hili litakua na uwezo wa kupitisha Tani 10 na litadumu kwa muda wa miaka 10 hadi 15.![]()
![]()
Tena hasa mtembea kwa miguu akiwa amepata moja moto moja baridi 😀. Atajisikia tu anapaa mwishoni anadakwa na hao mamba wanaosemekana wapo kwenye huo mtoBila kingo hatari sana kwa mtembea kwa miguu au gari itakayokuwa inavuka.