Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hapa tumeongopewa hilo daraja utakuta ni laki tisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halina kingo, tani 10 wamejaribu kabla hawajatamka ama ni nadharia
Yale yale ya kabudi kusema “katiba hii ni madhubuti kwa kuwa imetuvusha katika kipindi kigumu”😅😅😅Dah angesema basi bei ya hizo mbao na magogo [emoji3][emoji3]
Daraja la zege mita 40 kwa milioni 30? Unavuta bangi eeh?!!Du aisee nikajua la nzege , kumbe mbao, hapo tumepigwa
Mamamamae....Ukihesabu idadi ya mbao, saruji, mawe, milingoti, misumari, kifusi, ufundi na 10% inazidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1873657
Hhaaahaaaaahaaaa...uwiiiiiiNi kweli limetumia mil 31 mchanganuo wa hesabu ni kwamba gharama za ujenzi wa daraja zima ni mil 4 na mil 27 zilitumika kuwalipa mamba ili wakae mbali na eneo hilonwakati daraja likijengwa
Hizo mbao kwa furniture hazifai, zinapinda!! Hiyo mijiti Ni kiburi,asili yake hainyonyi maji, ndio Yale manguzo ya umeme wanayotumia Tanesco,Itabidi nizitafute ninunue nitengeneze furniture maana najua zitakua mkataba kwa furniture za ndani
Mkuu hizo mbao haziozi kwa miaka mitatu,Kwanza kwenye Maji likikaa halinyonyi maji, Ni mti kiburi huo, ndio Yale maguzo ya umemeTena wanaokata ni wafungwa.
Serikali kuna michezo ya kishenzi sana, vidaraja kama hivi ni vya kupigia hela. Miaka mitatu ijayo, watasema mbap zimeoza, na italetwa habari mwananchi mmoja kaliwa na mamba, basi madiwani watalambishwa laki laki, na kupitisha hoja, daraja jipya lijengwe. Procurement Officer na team yake wanalamba hata 15 Mil, maisha yanasonga.
Laki tisa!!, Banda langu dogo la kuku limenighalimu 1.5milion,Hapa tumeongopewa hilo daraja utakuta ni laki tisa
Kuna gharama za upembuzi yakinifu, utengenezaji wa zabuni, thathmini na posho za wadau wanaosimamia mchakato mzima🐒Yaani hizo mbao ndio zimegharimu hell yote hiyo?