Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Niliwahi kusema hapa kwamba tangu Serikali ijue kwamba watanzania ni wepesi wa kusahau na wala si wafuatuliaji basi wana ahidi na kudanganya watakavyo.
Mwezi March TARURA walitoa ahadi kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa Jamii forums kwamba ujenzi wa barabara ya Wakorea ( inayoelekea Tegeta A mpaka Goba mpaka) iliyoko manispaa ya Ubungo Dsm ungeanza. Lkn sasa tuko tunaelekea mwezi wa kumi na hakuna dalili zozote za ujenzi. Halaf mvua zikirudi tena wataanza kuja na drama hizi hizi za kwamba mvua zikikata tutajenga. Huwa mnatuonaje watanzania kwa mfano.
Pia soma ~ TARURA: Barabara ya Goba Wakorea hadi Tegeta itakuwa ya lami, njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani