Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Mkuu nimepita jana kule hakuna hata punje kokoto.Mbona kama "walianza"?
Serikali serious ilikuwa ya JPM tuSerikali ya Tanzania usiichukulie serious.
nasisi huku tarime barabARA ya kuelekea nyamongo kupitia vijiji kadhaa bado ni kitendawili baada ya mkandarasi kuondoka site akiwa baadhi ya maeneo ilibaki kuweka tu lami, maana kokoto zilikwishawekwa kiasi ya kusubiria tu lami. tangu june hakuna kinachoendeleaNiliwahi kusema hapa kwamba tangu serikali ijue kwamba watanzania ni wepesi wa kusahau na wala si wafuatuliaji basi wana ahidi na kudanganya watakavyo.
Mwezi March TARURA walitoa ahadi kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa Jamii forums kwamba ujenzi wa barabara ya Wakorea ( inayoelekea Tegeta A mpaka Goba mpaka) iliyoko manispaa ya Ubungo Dsm ungeanza. Lkn sasa tuko tunaelekea mwezi wa kumi na hakuna dalili zozote za ujenzi. Halaf mvua zikirudi tena wataanza kuja na drama hizi hizi za kwamba mvua zikikata tutajenga. Huwa mnatuonaje watanzania kwa mfano.
View attachment 3109128
Kuna mkopo mwingine tunausikiliziaNiliwahi kusema hapa kwamba tangu serikali ijue kwamba watanzania ni wepesi wa kusahau na wala si wafuatuliaji basi wana ahidi na kudanganya watakavyo.
Mwezi March TARURA walitoa ahadi kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa Jamii forums kwamba ujenzi wa barabara ya Wakorea ( inayoelekea Tegeta A mpaka Goba mpaka) iliyoko manispaa ya Ubungo Dsm ungeanza. Lkn sasa tuko tunaelekea mwezi wa kumi na hakuna dalili zozote za ujenzi. Halaf mvua zikirudi tena wataanza kuja na drama hizi hizi za kwamba mvua zikikata tutajenga. Huwa mnatuonaje watanzania kwa mfano.
View attachment 3109128
Hapo watakausha ikifika mwez wa wa 11 ambao ni mwezi wa uchaguzi watakuja watazugazuga mkiwapa kura wanapoteaHuku kwetu walimwaga hadi kokoto, kuna eneo la kujenga daraja. Ni miezi mitatu sasa. Hapa tumepigwa pazito sana.
Baada ya kuupiga ule wa kwanza?Kuna mkopo mwingine tunausikilizia
Aisee huyu mama hamna kitu. Yani aliyepeleka jina lake kamati kuu ili awe makamu alitukosea sana watanzania, hata aispotuomba radhi hadaharani basi aombe radhi kwa Mungu wakeKuna wajinga Fulani wanasema mitano Tena !
Kumbe hata udiwani hawezi
Kwanza bibi hana kumbu kumbu,za kufuatilia alichokisema.
Kabisa, yani saiz ni shamba la bibiUsiamini hii serikali ya CHURA mm ninauwakika hao tayri pesa ilitoka wajanja wamekula. Baada ya kujua CHURA sio mfatiliaji.
All the best
Ila hawa wamezidi uongo aisee. Nimeshuhudia serikali za awamu zote. Lkn hakuna serikali yenye ahadi hewa kama hiiHivi wakisemaga neno kumbe kuna watu mnawaaminigi😃😃