mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,848
- 22,392
Zamani ubaharia hapa kwetu Tanzania ilionekana ni kama kazi za hovyo,,wasomi wengi hawakukimbilia kusoma ubaharia,,,na hata wazazi wengi hawakupenda watoto wao wasome ubaharia ,, Sijajuwa kwa sasa nini kimetokea sijuwi ni ugumu wa ajira au ni vipi, sasa kuna wimbi kubwa sn la vijana wanawake kwa wanaume kusomea ubaharia pale DMI,
lakini ajabu na tatizo ni kwamba TASAC na DMI wameweka ugumu kwenye hili la kusoma,,wamegeuza ubaharia kama kazi za taaluma na sio fani kama ilivyo zamani,,,,Mimi ni baharia kwa level ya AB(able seaman).
Nilihitaji kusoma COC DMI,,ili niweze kupata cheti cha COC (certificate of competency)
Hii itanifanya niweze kupanda rank melini nakuwa level ya officer ..
Ajabu ni kwamba DMI na TASAC wameweka kipengele cha lazima niwe na cheti cha form 4.. tena niwe nimepass vzr hesabu...sasa hesabu na kusoma officer wapi na wapi?
Cheti cha form 4 na experience ya melini ni vitu tofauti. Mwanzo nimesoma hapo DMI course za awali zote bila cheti,,kwann leo nataka kusoma officer waweke kipengele cha cheti?hamuoni kama mnaharibia mabahari maisha?
Lazima ieleweke kwamba kazi ya ubaharia ni fani kama ilivyo fani za ufundi mwingine wowote mfano carpenter,udereva crane operator nk, ubaharia sio taaluma kama doctor, teacher, accountant nk,
Kuweka kipengele cha cheti cha form 4 kwenye course za fani ni kuendelea kudumaza vijana kwenye kujikwamua maisha kutoka kwenye dimbwi la umasikini,,
Popote duniani cheti cha shule hakina uhitaji wowote melini,,hakuna anayeuliza umemaliza form 4 wapi na mwaka gani? zaidi ya kuulizwa marine documents.
Nashauri serikali iangalie upya jambo hili ili mabaharia wanaohitaji kusoma short course wapate nafasi ya kusoma level zote za kozi za ubaharia bila uhitaji wa cheti cha form 4 ili wakajitafutie maisha huko nje ,, kwani 99% ya mabahari wengi ndoto zetu ni kufanya kazi nje ya inchi,,,kuna mabaharia wengi wenye level ya chini wana experience kubwa ya marine shida ni cheti cha COC ili aweze kupanda rank,,na tatizo ni TASAC na DMI kuweka ugumu ili baharia asisome.,na kuwa na rank kubwa ..
TASAC na DMI wacheni mabahari wasome wacheni roho za kwann.