TASAC na DMI kipengele cha cheti cha form 4 cha kazi gn kwenye kusoma ubaharia?

Mzee meli za siku hizi ni noma
sasa unataka uungeunge ufike mpaka captain halafu ukutane hivi hata hesabu hujasoma
View attachment 3660656
Mkuu,,hao wanaojiita wasomi tunawatoa nishai onboard kila siku,tena hawana wanachojuwa zaidi ya vyeti tu..ila experience physically hamna kitu..
Kama English watu wanaongea kuliko hao wenye vyeti vya form 4..
sasa hapo ndy kuna nn cha ajabu?
Hapo kuna Rada tu
Usitishwe mkuu madude hayo watu wanasukuma tu...
 
we jamaa acha kulazimisha huo ujinga wako kwenye mambo ya msingi, ni sehemu gani anahitaji officer tena wa complex machine kama meli asiwe na elimu tena ya mahesabu.

nafikiri kaanzishe hiyo kozi yako mwenyewe utakayosomea uafisa Bila kuwa na vyeti.
Ni hesabu gn inatakiwa ukiwa bridge?. wacheni kutisha watu..
Yaani kujuwa miles kugawanya na speed ili kujuwa utatumia masaa mangp safari yako nayo ni kazi kubwa?

Hayo madude tunasukuma kila siku na cheti hatuna..

Ndy maana kuna kozi za
Bridge equipments
Rada
Radio nk.

Hizo kozi zote haziihitaji cheti ila kozi ya COC PEKEE ndy mmtaka cheti.
Kama sio roho mbaya nini?mmeona kazi zinawabana mnakimbilia ubaharia kuleta roho mbaya...
Hakuna hesabu zozote zaidi ya hesabu za kawaida tu..
 
Ni hesabu gn inatakiwa ukiwa bridge?. wacheni kutisha watu..
Yaani kujuwa miles kugawanya na speed ili kujuwa utatumia masaa mangp safari yako nayo ni kazi kubwa?
A cargo ship departs from harbor on a bearing of 045°. After sailing 15 km, the captain changes course to 120° and travels 20 km more. What is the ship's straight-line distance from the harbor?

1788190332715.png
 
Miaka miwili tu unapata cheti cha form four na unasoma ukiwa nyumbani
Muda huo watu hawana mkuu,,cheti cha nn kwenye marine?
Kwann mambo mengine hawataki cheti ila ukitaka usome COC wanataka cheti huoni kama ni roho mbaya?
Ktk vyeti vyenye ubora mkubwa duniani ktk marine ni South African certificates,na huko ukienda kusoma hawataki cheti chako cha form 4 Zaidiya sea time yko melini..
TASAC na DMI wanapaswa kubadilika,,
IMO hawahitaji cheti cha mtu zaidi ya certificates za marines pekee.
 
A cargo ship departs from harbor on a bearing of 045°. After sailing 15 km, the captain changes course to 120° and travels 20 km more. What is the ship's straight-line distance from the harbor?

View attachment 3660732
Sasa hapo mkuu ajabu nn?
Anakwambiya captain alikuwa anatembea bearings 045 degrees akatembea miles 15 akabadili couse 120 degeee na anasafiri kwa 20 km,,
Meli ina umbali gn toka bandarini ?

Sasa ndy ajabu nn?..
Hapo Pana hesabu gn?
Hizo chart tunachora na chart corrections tunafanya...
Mambo ya longitude na latitudes tunafanya kila sku,, kutafuta position especially meli ikiwa underway.
Tupeni nafasi tusome COC wacheni roho za kwann?
 
Hizo hesabu unazoita za kawaida ndio hizo wanaita basic mathematics na ili tujue kua unaziweza tunataka ulete cheti Cha form four maana ndio Huwa zinafundishwa kwenye hiyo level

Ambacho huelewi ni nini hapo Dunia imeshabadilika ni swala la muda tu hata madereva wa magari watafikiwa
 
Wewe kajiandikishe private candidate unafaulu vizuri,nakusoma reply zako upo vizuri sana.Okoa muda,huwezi bishana na sera za elimu,unapoteza muda
 
Hizo hesabu unazoita za kawaida ndio hizo wanaita basic mathematics na ili tujue kua unaziweza tunataka ulete cheti Cha form four maana ndio Huwa zinafundishwa kwenye hiyo level

Ambacho huelewi ni nini hapo Dunia imeshabadilika ni swala la muda tu hata madereva wa magari watafikiwa
Hizo ndy robo mbaya sasa,, ubora wa Ab unathibitishwa na captain pamoja na chief officer onboard,,
Baharia anahitaji vitu kadhaa awe qualified.
-afya njema
-good communication skills.
-utendaji kazi mzr
-ushirikiano na wafanyakazi wenzie..

Hayo mambo ya cheti ni roho mbaya kwa hofu kwamba watu watakuwa captains na kuwazidi mnaojiita wasomi uchwala..
Hicho kipengele mmeweka ili kusumbuwa mabaharia.
Mimi ni very experienced AB sijawahi kukutana na swali la hesabu zaidi ya miles kugawanya kwa speed ya melli kupata muda meli utakaotumia kusafiri..
Pia ni lazima usome mambo ya bridge ukitaka kupata COC kwann mnakataza?
 
..mkuu usiwe mbishi sana...hiyo course ya COC kama hujapitia hizo unaita basic maths utafeli kabisa...hiyo course inahitaji ujue maths za Ship Stability and Trim...sasa kama hauna foundation ya basic maths utafeli tu..ni kwa faida yako na pesa ya course unayotaka kusoma
 
Mkuu tayari wametoa waraka wa Kuanzisha Bridge Course pale DMI. Niliona kwenye kurasa za Tasac

..mle
Naona hapa mchawi cheti Cha form 4, Sasa nimejua MTU akiitwa baharia yukoje kwa ufupi
..mkuu hawa wanapotosha..ili uwe Master Mariner (Captain) ni lazima usome maths & physics....na ndio maana seafarers wetu wanakosa kazi huko duniani kwa kukosa sifa..Capt wa meli ni kazi ngumu yenye kufanya calculated decisions kila wakati..meli kubwa zinazobeba containers na mafuta zinabeba mizigo ya thamani ya billions of dollars huwezi risk ukaweka waendeshaji wasio na weledi mkubwa...ni sekta ambayo ina uhakika wa ajira duniani kote maana waliosoma ipasavyo ni wachache sana..ni vizuri Gov imeamka na kuanza kuweka qualifications zinazohitajika ili tupate mabaharia wenye kuweza kushindana na wenzao duniani
 
Sasa mabaharia wanataka kuleta ubaharia hadi kwenye kusoma
 
A cargo ship departs from harbor on a bearing of 045°. After sailing 15 km, the captain changes course to 120° and travels 20 km more. What is the ship's straight-line distance from the harbor?

View attachment 3660732
Hapo unataka kumchanganya zaidi huyu mtoa mada anayetaka kufosi ujinga, sina uhakika kama kingereza chenyewe anakielewa.
 
..mkuu usiwe mbishi sana...hiyo course ya COC kama hujapitia hizo unaita basic maths utafeli kabisa...hiyo course inahitaji ujue maths za Ship Stability and Trim...sasa kama hauna foundation ya basic maths utafeli tu..ni kwa faida yako na pesa ya course unayotaka kusoma
Sasa kujuwa hesabu lazima ufike form 4?
Hivyo vyuo vingine south Africa na kote duniani hawajuwi kama kunatakiwa cheti cha form 4?
Mbona hawakuulizi cheti?
Wacheni roho mbaya TASAC na DMI.
 
Hapo unataka kumchanganya zaidi huyu mtoa mada anayetaka kufosi ujinga, sina uhakika kama kingereza chenyewe anakielewa.
Kunichanganya kvp?? Yaani sijuwi bearing? Au couse?
Hamjiulizi mbona vyuo bora duniani hawaulizi cheti cha form 4?
Mmeweka vizingiti ili msome nyie,na mkija melini kazi hamjuwi,,
Sio mnaotubania ndy tunawaelekeza kazi
 
Back
Top Bottom