Hii mentally ndy inadumaza sekta ya marine.. South Africa unasoma bila cheti level yeyote ya marine.Fanya mtihani wa form four
Hizo janja janja hazitakiwi
Bridge course unasoma, , ABLE SEAFARER unasoma kwa waliokuwa na rating zamani ila sasa ABLE na RATING wanataka uwe na cheti cha form 4Mkuu tayari wametoa waraka wa Kuanzisha Bridge Course pale DMI. Niliona kwenye kurasa za Tasac
Sasa sijajuwa nn kimewakuta TASAC na DMI kuweka ugumu kwa mabahari.,zamani hakikuwepo kipengele hiki.Hatar
Haiwezi kudumaza sekta kwa sababu wenye vyeti vya form four ni wengiHii mentally ndy inadumaza sekta ya marine.. South Africa unasoma bila cheti level yeyote ya marine.
IMO(INTERNATIONAL MARITIME ORGANIZATION)yenyewe haijaweka kipengele cha cheti huoni kama ni roho mbaya za TASAC na DMI..
Marine ni experience sio cheti.
Naona kama serikali imeweka kiwango cha chini cha elimu kwa sasa ni Kidato cha Nne! Hii ni kwenye mambo yote.Zamani ubaharia hapa kwetu Tanzania ilionekana ni kama kazi za hovyo,,wasomi wengi hawakukimbilia kusoma ubaharia,,,na hata wazazi wengi hawakupenda watoto wao wasome ubaharia ,, Sijajuwa kwa sasa nini kimetokea sijuwi ni ugumu wa ajira au ni vipi, sasa kuna wimbi kubwa sn la vijana wanawake kwa wanaume kusomea ubaharia pale DMI,
lakini ajabu na tatizo ni kwamba TASAC na DMI wameweka ugumu kwenye hili la kusoma,,wamegeuza ubaharia kama kazi za taaluma na sio fani kama ilivyo zamani,,,,Mimi ni baharia kwa level ya AB(able seaman).
Nilihitaji kusoma COC DMI,,ili niweze kupata cheti cha COC (certificate of competency)
Hii itanifanya niweze kupanda rank melini nakuwa level ya officer ..
Ajabu ni kwamba DMI na TASAC wameweka kipengele cha lazima niwe na cheti cha form 4.. tena niwe nimepass vzr hesabu...sasa hesabu na kusoma officer wapi na wapi?
Cheti cha form 4 na experience ya melini ni vitu tofauti. Mwanzo nimesoma hapo DMI course za awali zote bila cheti,,kwann leo nataka kusoma officer waweke kipengele cha cheti?hamuoni kama mnaharibia mabahari maisha?
Lazima ieleweke kwamba kazi ya ubaharia ni fani kama ilivyo fani za ufundi mwingine wowote mfano carpenter,udereva crane operator nk, ubaharia sio taaluma kama doctor, teacher, accountant nk,
Kuweka kipengele cha cheti cha form 4 kwenye course za fani ni kuendelea kudumaza vijana kwenye kujikwamua maisha kutoka kwenye dimbwi la umasikini,,
Popote duniani cheti cha shule hakina uhitaji wowote melini,,hakuna anayeuliza umemaliza form 4 wapi na mwaka gani? zaidi ya kuulizwa marine documents.
Nashauri serikali iangalie upya jambo hili ili mabaharia wanaohitaji kusoma short course wapate nafasi ya kusoma level zote za kozi za ubaharia bila uhitaji wa cheti cha form 4 ili wakajitafutie maisha huko nje ,, kwani 99% ya mabahari wengi ndoto zetu ni kufanya kazi nje ya inchi,,,kuna mabaharia wengi wenye level ya chini wana experience kubwa ya marine shida ni cheti cha COC ili aweze kupanda rank,,na tatizo ni TASAC na DMI kuweka ugumu ili baharia asisome.,na kuwa na rank kubwa ..
TASAC na DMI wacheni mabahari wasome wacheni roho za kwann.
Ni kwl lakini mambo ya meli hayahitaji cheti cha form 4.Naona kama serikali imeweka kiwango cha chini cha elimu kwa sasa ni Kidato cha Nne! Hii ni kwenye mambo yote.
Ndio mfumo unavyotaka mkuu.Ni kwl lakini mambo ya meli hayahitaji cheti cha form 4.
Mbn kusoma udereva huulizwi chchote?
Baharia ni fani kama uderva na zingine kwann tuwekewe vikwazi vyq cheti?
Kwann sasa mbona mwanzo walikuwa hawaulizi cheti?
Mabaharia wanafata mfumo wa IMO,Haiwezi kudumaza sekta kwa sababu wenye vyeti vya form four ni wengi
Karibu kila kijana anacho
..hii sio sahihi..kwenye level ya officers wa meli ni lazima uwe umesoma..ni sheria gani ya IMO inayosema ulichoandika?Mabaharia wanafata mfumo wa IMO,
na huko hawahitaji hicho cheti.
Iwekwe kwamba kama unahitaji kusoma LONG COURSE waweke cheti.
Ila wale wanaosoma SHORT COURSE waendelee na mfumo wa bila cheti kwasababu wengi hawakufika form 4.
Nikama TASAC na DMI wametambuwa hilo na kuweka vikwazo mabahari wasisome oficer..
Sizungumzii kupata kazi,nazungumzia kupata ujuzi wa udereva kunahitaji uwe na form 4?Ndio mfumo unavyotaka mkuu.
Hata dereva bila cheti cha form four hutapata kazi.
Anyway hiyo short course inachukua muda gani?
we jamaa acha kulazimisha huo ujinga wako kwenye mambo ya msingi, ni sehemu gani anahitaji officer tena wa complex machine kama meli asiwe na elimu tena ya mahesabu.Mabaharia wanafata mfumo wa IMO,
na huko hawahitaji hicho cheti.
Iwekwe kwamba kama unahitaji kusoma LONG COURSE waweke cheti.
Ila wale wanaosoma SHORT COURSE waendelee na mfumo wa bila cheti kwasababu wengi hawakufika form 4.
Nikama TASAC na DMI wametambuwa hilo na kuweka vikwazo mabahari wasisome oficer..
Mzee meli za siku hizi ni nomaZamani ubaharia hapa kwetu Tanzania ilionekana ni kama kazi za hovyo,,wasomi wengi hawakukimbilia kusoma ubaharia,,,na hata wazazi wengi hawakupenda watoto wao wasome ubaharia ,, Sijajuwa kwa sasa nini kimetokea sijuwi ni ugumu wa ajira au ni vipi, sasa kuna wimbi kubwa sn la vijana wanawake kwa wanaume kusomea ubaharia pale DMI,