Mkuu,,hao wanaojiita wasomi tunawatoa nishai onboard kila siku,tena hawana wanachojuwa zaidi ya vyeti tu..ila experience physically hamna kitu..Mzee meli za siku hizi ni noma
sasa unataka uungeunge ufike mpaka captain halafu ukutane hivi hata hesabu hujasoma
View attachment 3660656
Ni hesabu gn inatakiwa ukiwa bridge?. wacheni kutisha watu..we jamaa acha kulazimisha huo ujinga wako kwenye mambo ya msingi, ni sehemu gani anahitaji officer tena wa complex machine kama meli asiwe na elimu tena ya mahesabu.
nafikiri kaanzishe hiyo kozi yako mwenyewe utakayosomea uafisa Bila kuwa na vyeti.
Miaka miwili tu unapata cheti cha form four na unasoma ukiwa nyumbaniMkuu,,hao wanaojiita wasomi tunawatoa nishai onboard.
English watu wanaongea kuliko hao wenye vyeti vya form 4..sasa hapo ndy kuna nn cha ajabu?
A cargo ship departs from harbor on a bearing of 045°. After sailing 15 km, the captain changes course to 120° and travels 20 km more. What is the ship's straight-line distance from the harbor?Ni hesabu gn inatakiwa ukiwa bridge?. wacheni kutisha watu..
Yaani kujuwa miles kugawanya na speed ili kujuwa utatumia masaa mangp safari yako nayo ni kazi kubwa?
Muda huo watu hawana mkuu,,cheti cha nn kwenye marine?Miaka miwili tu unapata cheti cha form four na unasoma ukiwa nyumbani
Sasa hapo mkuu ajabu nn?A cargo ship departs from harbor on a bearing of 045°. After sailing 15 km, the captain changes course to 120° and travels 20 km more. What is the ship's straight-line distance from the harbor?
View attachment 3660732
Hizo hesabu unazoita za kawaida ndio hizo wanaita basic mathematics na ili tujue kua unaziweza tunataka ulete cheti Cha form four maana ndio Huwa zinafundishwa kwenye hiyo levelSasa hapo mkuu ajabu nn?
Anakwambiya captain alikuwa anatembea bearings 045 degrees akatembea miles 15 akabadili couse 120 degeee na anasafiri kwa 20 km,,
Meli ina umbali gn toka bandarini ?
Sasa ndy ajabu nn?..
Hapo Pana hesabu gn?
Hizo chart tunachora na chart corrections tunafanya...
Mambo ya longitude na latitudes tunafanya kila sku,, kutafuta position especially meli ikiwa underway.
Tupeni nafasi tusome COC wacheni roho za kwann?
Wewe kajiandikishe private candidate unafaulu vizuri,nakusoma reply zako upo vizuri sana.Okoa muda,huwezi bishana na sera za elimu,unapoteza mudaSasa hapo mkuu ajabu nn?
Anakwambiya captain alikuwa anatembea bearings 045 degrees akatembea miles 15 akabadili couse 120 degeee na anasafiri kwa 20 km,,
Meli ina umbali gn toka bandarini ?
Sasa ndy ajabu nn?..
Hapo Pana hesabu gn?
Hizo chart tunachora na chart corrections tunafanya...
Mambo ya longitude na latitudes tunafanya kila sku,, kutafuta position especially meli ikiwa underway.
Tupeni nafasi tusome COC wacheni roho za kwann?
Hizo ndy robo mbaya sasa,, ubora wa Ab unathibitishwa na captain pamoja na chief officer onboard,,Hizo hesabu unazoita za kawaida ndio hizo wanaita basic mathematics na ili tujue kua unaziweza tunataka ulete cheti Cha form four maana ndio Huwa zinafundishwa kwenye hiyo level
Ambacho huelewi ni nini hapo Dunia imeshabadilika ni swala la muda tu hata madereva wa magari watafikiwa
Haujawahi kuniangusha kwenye hii tasnia.Mkuu tayari wametoa waraka wa Kuanzisha Bridge Course pale DMI. Niliona kwenye kurasa za Tasac
..mkuu usiwe mbishi sana...hiyo course ya COC kama hujapitia hizo unaita basic maths utafeli kabisa...hiyo course inahitaji ujue maths za Ship Stability and Trim...sasa kama hauna foundation ya basic maths utafeli tu..ni kwa faida yako na pesa ya course unayotaka kusomaHizo ndy robo mbaya sasa,, ubora wa Ab unathibitishwa na captain pamoja na chief officer onboard,,
Baharia anahitaji vitu kadhaa awe qualified.
-afya njema
-good communication skills.
-utendaji kazi mzr
-ushirikiano na wafanyakazi wenzie..
Hayo mambo ya cheti ni roho mbaya kwa hofu kwamba watu watakuwa captains na kuwazidi mnaojiita wasomi uchwala..
Hicho kipengele mmeweka ili kusumbuwa mabaharia.
Mimi ni very experienced AB sijawahi kukutana na swali la hesabu zaidi ya miles kugawanya kwa speed ya melli kupata muda meli utakaotumia kusafiri..
Pia ni lazima usome mambo ya bridge ukitaka kupata COC kwann mnakataza?
Mkuu tayari wametoa waraka wa Kuanzisha Bridge Course pale DMI. Niliona kwenye kurasa za Tasac
..mkuu hawa wanapotosha..ili uwe Master Mariner (Captain) ni lazima usome maths & physics....na ndio maana seafarers wetu wanakosa kazi huko duniani kwa kukosa sifa..Capt wa meli ni kazi ngumu yenye kufanya calculated decisions kila wakati..meli kubwa zinazobeba containers na mafuta zinabeba mizigo ya thamani ya billions of dollars huwezi risk ukaweka waendeshaji wasio na weledi mkubwa...ni sekta ambayo ina uhakika wa ajira duniani kote maana waliosoma ipasavyo ni wachache sana..ni vizuri Gov imeamka na kuanza kuweka qualifications zinazohitajika ili tupate mabaharia wenye kuweza kushindana na wenzao dunianiNaona hapa mchawi cheti Cha form 4, Sasa nimejua MTU akiitwa baharia yukoje kwa ufupi
Sasa mabaharia wanataka kuleta ubaharia hadi kwenye kusoma..mle
..mkuu hawa wanapotosha..ili uwe Master Mariner (Captain) ni lazima usome maths & physics....na ndio maana seafarers wetu wanakosa kazi huko duniani kwa kukosa sifa..Capt wa meli ni kazi ngumu yenye kufanya calculated decisions kila wakati..meli kubwa zinazobeba containers na mafuta zinabeba mizigo ya thamani ya billions of dollars huwezi risk ukaweka waendeshaji wasio na weledi mkubwa...ni sekta ambayo ina uhakika wa ajira duniani kote maana waliosoma ipasavyo ni wachache sana..ni vizuri Gov imeamka na kuanza kuweka qualifications zinazohitajika ili tupate mabaharia wenye kuweza kushindana na wenzao duniani
Hapo unataka kumchanganya zaidi huyu mtoa mada anayetaka kufosi ujinga, sina uhakika kama kingereza chenyewe anakielewa.A cargo ship departs from harbor on a bearing of 045°. After sailing 15 km, the captain changes course to 120° and travels 20 km more. What is the ship's straight-line distance from the harbor?
View attachment 3660732
Mkuu kwema, Ukishuka kutoka Zanzibar tuonane kuna muda nakuwa mitaa hiyo kuna ofisi ya Maritime consultation.Haujawahi kuniangusha kwenye hii tasnia.
Wamefanya uamuzi wa busara mno.
Tuombe uzima mkuu, ntafanya hivyo.Mkuu kwema, Ukishuka kutoka Zanzibar tuonane kuna muda nakuwa mitaa hiyo kuna ofisi ya Maritime consultation.
Sasa kujuwa hesabu lazima ufike form 4?..mkuu usiwe mbishi sana...hiyo course ya COC kama hujapitia hizo unaita basic maths utafeli kabisa...hiyo course inahitaji ujue maths za Ship Stability and Trim...sasa kama hauna foundation ya basic maths utafeli tu..ni kwa faida yako na pesa ya course unayotaka kusoma
Kunichanganya kvp?? Yaani sijuwi bearing? Au couse?Hapo unataka kumchanganya zaidi huyu mtoa mada anayetaka kufosi ujinga, sina uhakika kama kingereza chenyewe anakielewa.