TASAC na DMI kipengele cha cheti cha form 4 cha kazi gn kwenye kusoma ubaharia?

Sasa mabaharia wanataka kuleta ubaharia hadi kwenye kusoma
Mabaharia wanataka kusoma shida nyie wasomi uchwala mnataka kuteka soko la mabaharia kwa kuweka vizingiti.
Vyuo vyote duniani hawahitaji cheti cha shule.
Tena ukiangalia vyuo bora duniani DMI labda cha 80 kwa ubora lakini mnaweka roho mbaya..
Nawapa taarifa kwa sasa mabaharia kibao wanasoma south Africa bila cheti cha shule yote ssbabu ya roho mbaya zenu..
Kwann msumbuwe mabaharia?
 
Wewe usiwe akili fyatu..
Kazi ya kupanga mizigo ni kazi ya chief officer na sio captain.
Pia physics ya kazi gn kwa deck department?
Hesabu unatumia wp melini?
Kwhyo mambo ya kujuwa hesabu mnajuwa nyie DMI. na TASAC ambao ni wa 80 kwa ubora duniani,
Lakini wale ambao vyuo bora bona hawaulizi form 4?
Mimi maisha yng nashinda bridge najuwa kila kitu,
Kuanzia rada hadi steering,,hakuna lolote zaidi ya kutisha watu..
Hakuna hesbu zozote na kama hesabu zipo sio hizo mnazitaka nyie..
 
..kijana hiyo COC unayotaka kusoma utafeli kama huna background ya maths na ndio maana wameweka uwe na angalau form four..utafeli...nenda kasome huko mnapodanganyana hawahitaji background ya maths...mtaala wa STCW ndio unavyotaka kwa level ya officers..hiyo COC sio lelemama kijana.!
 
Kaka bongo tunaendekeza mifumo ya kikoloni ambayo wakoloni wenyewe walishatemana nayo...mfano unataka kujifunza fani ya udereva...utaambiwa uwe na cheti cha form 4 pale NIT....sasa sijui cheti cha f4 kinahusiana vp na mtu kujua kuendesha gari. Elimu yenyewe sasa ya f4 utadhani labda kuna vya maana sana vinavyofubdishwa kwenye hiyo mitaala.

Ndio maana wasomi wa Geology pale SoMG -UDSM wakienda migodini huko wanakuwa supervised na watu walioishia darasa la 7. Uzoefu ndio kila kitu. Mwanajeshi mzoefu vitani ni bora zaidi kuliko yule aliye na cheo kikubwa tu kwa ajili ya vyeti.
 
Kunichanganya kvp?? Yaani sijuwi bearing? Au couse?
Hamjiulizi mbona vyuo bora duniani hawaulizi cheti cha form 4?
Mmeweka vizingiti ili msome nyie,na mkija melini kazi hamjuwi,,
Sio mnaotubania ndy tunawaelekeza kazi
kama una means ya kwenda kusoma hata mombasa -kenya nenda kaka..kachukue magamba yako unyanyuke mbele kwa mbele
 
acheni ujinga wa kukataa elimu...uendeshaji wa driver aliyefika form four na asiyekwenda shule ni tofauti sana...ajali nyingi tz ni kutokana na kuwepo madereva wengi wapumbavu...kaangalie nchi zote ambazo wamekazia kwenye elimu utakuta ajali ni chache na mara nyingine hakuna..nchi kama Sweden, Finland, etc ambazo wananchi wake wamesoma kwa zaidi ya 95% ajali ni za kuhesabu kwa mwaka....acheni kupenda ujinga & upumbavu!
 
kama una means ya kwenda kusoma hata mombasa -kenya nenda kaka..kachukue magamba yako unyanyuke mbele kwa mbele
..hakuna chuo cha maana kinachotoa COC kwa watu wasiotaka kusoma na kuwa na background ya maths..mnashindwa hata kutumia google kulijua hili?..mnaelewa courses zinazofundishwa kwenye hiyo COC?.mkizifahamu mtaacha ujinga wa kudanganyana kuwa kuna short cut!
 
Kasome tu form 4 hakuna atakayekusikiliza
 
Mkuu south Africa hawataki chochote Zaidi ya marine certificates na experience yko onboard..
Muhimu ni communication skills na afya njema..
Mabaharia kibao wanasoma huko kwa sasa,,tena vyeti vyenye ubora mkubwa duniani.
Marine cheti cha kazi gn?
Sasa mmekwenda mbali hata kusoma crane operator pia cheti cha shule?
Kwl hii si roho mbaya?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…