TASAF: Hali ya Umaskini Tanzania yapungua, Makonda atakiwa kurejesha fedha za TASAF kama alizitumia

Pia ameambiwa "anadhulumu haki ya watu kuishi," badala aamrishwe awarudishie watu hao haki yao hiyo ili waishi tena, anaambiwa arudishe fedha kiduchu za Tasaf!!!
 
Upepo umehamisha mada kutoka TASAF na hali ya umaskini nchini kwenda kumjadili Mkuu wa mkoa! Ama kweli kutawala nchi hii ni rahisi sana, na JPM anajua kuwa tunapenda kujadili watu ndio maana katuchomekea na hili la Makonda!
 
Hivi DAB anampa nn jiwe mpaka hajielewi..?
Huyu dogo kamuingiza mzee kwenye dark projects sasa anaweza kumblack mail jiwe saa yoyote ndio maana wakati anamuambia Bashite alipe fweza dogo akaanza kucheka
 
Hivi zile ambazo zinasemekana zimechotwa na mpakwa mafuta, mbona hatumiwiTAKUKURU na badala yake anaambiwa azirudishe?
Hakuna kisichojulikana, hakuna siri chini ya jua. Watu wanajua mengi sana kuhusu huyu dubu. Ngoja siku atakapo kuwa nje ya ile nyumba tuliyompangisha.Na hako ka Bashite katitoka tu madarakani ni safari ya ICC kwa kudhulumu uhai wa watu. Na atataja hata aliyemtuma aende na kile kikosi Dodom kupiga zile risasi
 
Swali fikirishi hivi ninani ama ni vitu gani vinasababisha umaskini 'What is the cause of poorness'
 
Makonda hawezi kukosa milioni ya kurudisha Tasaf, wakati ule alikua hohe hahe anafadhiliwa na Sam Sitta, alipiga mzinga kwa Mzee Mkapa.

Mdogo wangu una damu ya kunguni rudisha tu mzigo wa watu.
Wacheni kashfa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…