Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,768
Nakubaliana nawe asilimia Mia, data ni za kupika kupita maelezo!!!Data za kupikwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana nawe asilimia Mia, data ni za kupika kupita maelezo!!!Data za kupikwa!
Pia ameambiwa "anadhulumu haki ya watu kuishi," badala aamrishwe awarudishie watu hao haki yao hiyo ili waishi tena, anaambiwa arudishe fedha kiduchu za Tasaf!!!Makonde is above the law:-
1.Kamchapa Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba akazawadiwa U DC Kinondoni na Raisi Jk
2.Kamzima Nape na report ya kuvamia kituo cha Utangazaji Clouds,Nape aliambulia Kufukuzwa uwaziri na kuonyeshwa bastola na wasiojulikana.
3.Vyeti fake yeye havimuhusu kwa kuwa ni mteule wa Raisi Magu.
4.Kaingiza vifaa vya ofisini bila kulipa kodi lakini Waziri wa fedha alipolalama Raisi Mangu alimwomba yaishe kwa kumwamulu alipe kodi.
5.Aliagiza Meli ya serikali China kutoa huduma za afya badala ya wizara ya afya inayoongozwa na Waziri Mwalimu.
6.Pompeo imemlima ban kuingia Marekani lakini hadi leo serikali ya Magu haijatoa tamko la serikali.
Ni bora kuchezea black mamba kuliko kuchezea Makonda.
Siri yao waache wafurahieHivi DAB anampa nn jiwe mpaka hajielewi..?
Huyu dogo kamuingiza mzee kwenye dark projects sasa anaweza kumblack mail jiwe saa yoyote ndio maana wakati anamuambia Bashite alipe fweza dogo akaanza kuchekaHivi DAB anampa nn jiwe mpaka hajielewi..?
Hivi DAB anampa nn jiwe mpaka hajielewi..?
Kabuda na chombo kingine cha serikal ya mbaliKama amechukua huyo ni kama wahujumu uchumi wengine ashughulikiwe
shetani hatoi shetani mwezake.mnajisumbua tuKama amechukua huyo ni kama wahujumu uchumi wengine ashughulikiwe
Je nikweli Mbwa hawezi kuung'ata mkia wakeMeza haiwezi itumbua miguu
Ngoja tusubiri tuone Kama anaweza kung'ataJe nikweli Mbwa hawezi kuung'ata mkia wake
dah sijui anampa nini huyu c alikuwa anapiga vita ushoga,naona kwake mzee hajielewi kabisaHivi DAB anampa nn jiwe mpaka hajielewi..?
Mh! labda wakanyage mafutaPia ameambiwa "anadhulumu haki ya watu kuishi," badala aamrishwe awarudishie watu hao haki yao hiyo ili waishi tena, anaambiwa arudishe fedha kiduchu za Tasaf!!!
Hakuna kisichojulikana, hakuna siri chini ya jua. Watu wanajua mengi sana kuhusu huyu dubu. Ngoja siku atakapo kuwa nje ya ile nyumba tuliyompangisha.Na hako ka Bashite katitoka tu madarakani ni safari ya ICC kwa kudhulumu uhai wa watu. Na atataja hata aliyemtuma aende na kile kikosi Dodom kupiga zile risasiHivi zile ambazo zinasemekana zimechotwa na mpakwa mafuta, mbona hatumiwiTAKUKURU na badala yake anaambiwa azirudishe?
Bashite ni tai sijui kama ni rahisi kujiniga na tai yako shingoni
Wacheni kashfaMakonda hawezi kukosa milioni ya kurudisha Tasaf, wakati ule alikua hohe hahe anafadhiliwa na Sam Sitta, alipiga mzinga kwa Mzee Mkapa.
Mdogo wangu una damu ya kunguni rudisha tu mzigo wa watu.