ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mtoa mada ni jinga
Upumbavu wako ni kwamba hajui umasikini walio nao hao wanufaika wa Tasaf ni kwasababu ya mifumo mibovu ya CCM ilowekwa toka uhuru. Ambacho huelewi ni kwamba wewe unajaribu kusema Tanzania ina maskini wengi ambayo maana yake mfumo ni mbovu na haujui kama unasema hivyo. Yan mtu anasababisha Tatizo, alafu anavyojaribu kulitatua tumsifie?....Muwe mnafikiria basi, ndio mana watu wanataka REFORMS, Sababu the current system has failed to deliver and it has been doing this for 60 f years...BANANA REPUBLICupumbafu wangu ni upi hapo?
sio kweli hata kama ni reforms ndio chama gani kinaweza kuendesha dola?Upumbavu wako ni kwamba hajui umasikini walio nao hao wanufaika wa Tasaf ni kwasababu ya mifumo mibovu ya CCM ilowekwa toka uhuru. Ambacho huelewi ni kwamba wewe unajaribu kusema Tanzania ina maskini wengi ambayo maana yake mfumo ni mbovu na haujui kama unasema hivyo. Yan mtu anasababisha Tatizo, alafu anavyojaribu kulitatua tumsifie?....Muwe mnafikiria basi, ndio mana watu wanataka REFORMS, Sababu the current system has failed to deliver and it has been doing this for 60 film years...BANANA REPUBLIC
akiikusanya anatapata mtajiUnampa maskin elfu 30, elfu 10 Inaliwa na watu wa tasaf, 20 ndio unapewa ..20 kwa mwezi tena wakat mwingine miezi...inamsaidia nini kama sio matusi tu haya mnaleta hapa...endeleeni kumdhihaki Mungu...
Kwenye masuala ya maana huwezi wakuta ila kwenye mambo ya kijinga wanashadidia.Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
wehu hao mkuu achana naoKwenye masuala ya maana huwezi wakuta ila kwenye mambo ya kijinga wanashadidia.
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini.
Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.
Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
Unazani umasikini huu unalazimishwa na Nan kuwepo au nani chanzo Cha umasikini Africa?Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini.
Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.
Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
Pumbavu kabisa. 🚮akiikusanya anatapata mtaji
Mimi ni baba yako hapa JFkwanini mkuu?
lengo lako nq nia yako ilikua ni kupotosha, Kuonesha kwamba samia ndie wa kwanza kuwa na kitu kama ichoKwani Kikwete bado yuko madarakani?
hata hivyo wanapewa pesa bure kabisaPumbavu kabisa. 🚮
Ngoja nitaleta zile risiti ama vikaratasi flan wanazopewaga kuonesha kiwango mtu mzee maskin alieyepewa ....Kuna watu watalia machozi hapa . ...kiwango kikubwa kabisa kukishuhudia ni laki Moja na hio inakuja kwa mafungu ya elfu 20 20...
bila shakaMimi ni baba yako hapa JF
Mkuu sipo kwenye uchama, ila nikiona jambo haliendi sawa najua. Mkuu umeshindwa kuelewa nini? Kutumia hela nyingi hivyo tasaf maana yake tegemezi wapo wengi na kuwa na tegemezi wengi hivyo ni kwamba umasikini ni mkubwa sana. We huoni kama hapo kuna kitu hakiko sawa especially ukijaribu kuona wanaopewa hizi hela ni wazee waliokuwepo toka nchii hii inaanza kupata uhuru na unemployment rate ilikuwa ndogo?...hauoni kama they have failed us toka zamani na hawawez my rectify haya makosa kwa tasaf, lazima mfumo ubadilike kwa kubadili katiba ASAP sababu yote haya yanaanzia kwenye katiba....sio kweli hata kama ni reforms ndio chama gani kinaweza kuendesha dola?