Chai na Uji
JF-Expert Member
- Jun 16, 2025
- 203
- 66
Ni wazo zuriWangetengeneza mazingira ya kupunguza umasikini Tanzania hizi mambo za kugawa cash itapungua sana na pia hela nyingi zinapotea huko kwenye kukagawana...
Ni wazo zuriWangetengeneza mazingira ya kupunguza umasikini Tanzania hizi mambo za kugawa cash itapungua sana na pia hela nyingi zinapotea huko kwenye kukagawana...
Hii nayo ni sifa ya kuitangaza hadharani ...... PATHETIC.Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini.
Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.
Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
Hupendi masikini kusaidiwa?Hii nayo ni sifa ya kuitangaza hadharani ...... PATHETIC.
sawaMoja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini.
Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.
Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kung’ara kama kiongozi wa mfano barani Afrika, akibadilisha taswira ya Tanzania kupitia uongozi wenye dira, maono na vitendo vinavyogusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Kupitia uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya mawasiliano, elimu, afya, maji, nishati na barabara, Rais Samia ameifanya Tanzania iwe kinara wa mageuzi ya maendeleo na chachu ya ustawi wa wananchi. Ameweka msisitizo katika uwazi, diplomasia ya kiuchumi, uwezeshaji wa wanawake na vijana, huku akihakikisha kuwa kila shilingi inayowekezwa inaleta matokeo yanayoonekana. Hatua zake za kuboresha huduma za jamii na kuimarisha uchumi zimeongeza heshima ya nchi kimataifa, na leo Tanzania inatambulika kama taifa lenye uthabiti, matumaini na mustakabali imara chini ya uongozi wake thabiti na wenye dira.