TASAF inatumia Tshs Bilioni 900 kuhudumiwa watu milioni 5

Pesa za Tasaf sio za Samia,Kama ni zake tuambieni ametoa wapi ?
 
upumbafu wangu ni upi hapo?
Upumbavu wako ni kwamba hajui umasikini walio nao hao wanufaika wa Tasaf ni kwasababu ya mifumo mibovu ya CCM ilowekwa toka uhuru. Ambacho huelewi ni kwamba wewe unajaribu kusema Tanzania ina maskini wengi ambayo maana yake mfumo ni mbovu na haujui kama unasema hivyo. Yan mtu anasababisha Tatizo, alafu anavyojaribu kulitatua tumsifie?....Muwe mnafikiria basi, ndio mana watu wanataka REFORMS, Sababu the current system has failed to deliver and it has been doing this for 60 f years...BANANA REPUBLIC
 
sio kweli hata kama ni reforms ndio chama gani kinaweza kuendesha dola?
 
Unampa maskin elfu 30, elfu 10 Inaliwa na watu wa tasaf, 20 ndio unapewa ..20 kwa mwezi tena wakat mwingine miezi...inamsaidia nini kama sio matusi tu haya mnaleta hapa...endeleeni kumdhihaki Mungu...
 
Unampa maskin elfu 30, elfu 10 Inaliwa na watu wa tasaf, 20 ndio unapewa ..20 kwa mwezi tena wakat mwingine miezi...inamsaidia nini kama sio matusi tu haya mnaleta hapa...endeleeni kumdhihaki Mungu...
akiikusanya anatapata mtaji
 
Kwenye masuala ya maana huwezi wakuta ila kwenye mambo ya kijinga wanashadidia.
 
ila Hawa buku 7 wa mboga mboga akili hawana
 

mtahangaika sana na vitaarifa vyenu uchwara hivyo

hatoboi
#kataa wahuni#
 
Unazani umasikini huu unalazimishwa na Nan kuwepo au nani chanzo Cha umasikini Africa?
 
akiikusanya anatapata mtaji
Pumbavu kabisa. 🚮
Ngoja nitaleta zile risiti ama vikaratasi flan wanazopewaga kuonesha kiwango mtu mzee maskin alieyepewa ....Kuna watu watalia machozi hapa . ...kiwango kikubwa kabisa kukishuhudia ni laki Moja na hio inakuja kwa mafungu ya elfu 20 20...
 
hata hivyo wanapewa pesa bure kabisa
 
sio kweli hata kama ni reforms ndio chama gani kinaweza kuendesha dola?
Mkuu sipo kwenye uchama, ila nikiona jambo haliendi sawa najua. Mkuu umeshindwa kuelewa nini? Kutumia hela nyingi hivyo tasaf maana yake tegemezi wapo wengi na kuwa na tegemezi wengi hivyo ni kwamba umasikini ni mkubwa sana. We huoni kama hapo kuna kitu hakiko sawa especially ukijaribu kuona wanaopewa hizi hela ni wazee waliokuwepo toka nchii hii inaanza kupata uhuru na unemployment rate ilikuwa ndogo?...hauoni kama they have failed us toka zamani na hawawez my rectify haya makosa kwa tasaf, lazima mfumo ubadilike kwa kubadili katiba ASAP sababu yote haya yanaanzia kwenye katiba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…