TASHICO: MV. Victoria itaendelea kusimamisha huduma kwa muda wa mwezi mmoja kwajili ya kufanya 'service'

TASHICO: MV. Victoria itaendelea kusimamisha huduma kwa muda wa mwezi mmoja kwajili ya kufanya 'service'

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Wananchi wanaoishi kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza na Kagera ambao hutegemea kusafiri kwa kutumia meli ya MV. Victoria wameombwa kutumia usafiri mbadala wakati huu ambapo meli hiyo imeanza matengenezo yatakayochukua mwezi mmoja.

Ikitoa taarifa hiyo, Shirika la Meli nchini TASHICO limesema ukarabati huo umeanza Machi 4, 2025.

Pia soma:
~
Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria, inadaiwa haifanyi kazi wiki ya pili sasa, Mamlaka mbona mpo kimya?
~ TASHICO: Ni kweli huduma za Meli ya MV Victoria zimesimama kwa ajili ya service ya kawaida
 
Back
Top Bottom