TozzyMay
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 482
- 1,787
BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA
2 samweli 1:18
(Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya.
Yoshua 10:13
Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,
Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao.
Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari? Basi jua likasimama kimya katikati ya mbingu, wala halikufanya haraka kuchwa kama muda wa siku nzima.
Hesabu 21:14
Kwa hiyo imesemwa katika kitabu cha Vita vya BWANA,
Wahebu katika Sufa, .............
1 Mambo ya Nyakati 29:29
Basi habari za mfalme Daudi, mwanzo na mwisho, angalia, zimeandikwa katika tarehe ya Samweli, mwonaji, na katika tarehe ya Nathani, nabii, na katika tarehe ya Gadi, mwonaji;
(Now the acts of David the king, first and last, behold, they are written in the book of Samuel the seer, and in the book of Nathan the prophet, and in the book of Gad the seer)
1 Wafalme 14:29
[29]Na mambo yake Rehoboamu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?
(Now the rest of the acts of Rehoboam, and all that he did, are they not written in the book of the chronicles of the kings of Judah?)
Kwa wale wasomaji wa biblia, wenye uelewa na hii MISTARI ya BIBLIA naombeni msaada .
Kwa sababu sijaelewa kwanini Baadhi ya Vitabu vya BIBLIA inaonesha Kuna Vitabu vingine vinarejewa, mfano kitabu Cha YASHARI, ....etc?
TASHWISHWI,
Je, Vitabu hivi navyo vilikuwepo katika Biblia?
Kama vilikuwepo, Je vilikwenda wapi?
Na kama havikuwepo, kwanini vinarejewa katika BIblia?