Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

Lakini ,Kuna maandiko mengine yamefichwa.
Au bado unaikataa.
Agano la kale ndio biblia ya wayahud so Biblia ya kikristo imeunganisha agano la kale na jipya. Ila pia biblia yenyewe inatuambia mambo yote aliyofanya Yesu yangeandikwa hata dunia isingetosha. Lakin pia walizingatia zaid vitabu vinavyozungumzia wokovu wa mwanadamu na sio historia ya Israel
 
Isingetosha kivipi?
Mbona Yesu mwenyewe alitosha kuishi duniani na akafariki.
Hizi ni lugha mnazitumia kukatisha watu(wajinga) tamaa wasiendelee kutafuta Maarifa.
 
Mungu yupi Sasa , maana kwenye dini ya kikristo Kuna mungu mwana, mungu baba, ambapo maria mama wa mabikira wote alimzaa yesu kristo , mtoto wa mungu

Je Maria ni nani, ni mungu Mama, wanashindwa kusema hivyo Kwa sababu ya mfumo Dume.

Ila kwenye ile sala ya BABA yetu ulio mbinguni,
Maria katajwa kama "mama wa mungu, tuombee sisi wakosefu mpaka saa ya kufa kwetu Amina ".

Je Amina ni nini Tena,
Kwa wengine hilo neno Amina ni jina la jinsia ya kike kwa waislam.

Kwa hiyo Amina anapokea maombezi ya wakristo wote .
Kweli we ni blender😂
 
Back
Top Bottom