Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

Lakini ,Kuna maandiko mengine yamefichwa.
Au bado unaikataa.
Agano la kale ndio biblia ya wayahud so Biblia ya kikristo imeunganisha agano la kale na jipya. Ila pia biblia yenyewe inatuambia mambo yote aliyofanya Yesu yangeandikwa hata dunia isingetosha. Lakin pia walizingatia zaid vitabu vinavyozungumzia wokovu wa mwanadamu na sio historia ya Israel
 
Isingetosha kivipi?
Mbona Yesu mwenyewe alitosha kuishi duniani na akafariki.
Hizi ni lugha mnazitumia kukatisha watu(wajinga) tamaa wasiendelee kutafuta Maarifa.
 
Kweli we ni blenderšŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…