You're not serious man. Utakuja Kujua huko wrong ndani ya mwaka Mmoja.Hoja yako ina mantiki kidogo ingawa ni lazima utambue kuwa wapinzani hawajawahi kuwa na impact yoyote kwa miaka mitano iliyopita. wao ilikuwa ni kupinga kila kitu, kutoka nje ya bunge, kutukana, kujijali wao wenyewe na matumbo yao. kazi zote zilifanywa na CCM na ndicho sasa wanakwenda kukifanya. Kipindi hiki tutarajie uchapa kazi uliotukuka na maendeleo chanya zaidi maana wapumbavu hawapo tena.
Na hii thread inshallah tutakuja kuiibua mwaka 2024-2025You're not serious man. Utakuja Kujua huko wrong ndani ya mwaka Mmoja.
Kuna baadhi ya maeneo kupita bila kupingwa kumetokana na wagombea wa vyama vingine kutekwa, kuwekwa mahabusu kwa kesi feki kupisha muda wa urejeshaji fomu, kuporwa fomu, wapokeaji fomu kukataa kupokea au kotoroka, nk.. Na wananchi wameudhiwa sana na hizo figisu, so wasingepiga kura zao huko.Pia wale wanaopita bila kupingwa ukifirikia hilo jina wanaloitwa kwa tafakari unaona ina impact sana katika kuwapa kura wagombea wa nafasi zingine wa chama husika kweny hayo maeneo.
Bado tu mnaendeleza propaganda hamjachoka tuKwenye uchaguzi uliofanyika 28/Oct kweli nilikua natarajia Magufuli atashinda japo siyo kwa % nyingi kama alizokua anatamka Polepole na zilizotangazwa kumpa ushindi. Hivyo sijaona maajabu hapa kwa Urais wake labda hizo 84% tu. Zile nafasi za wabunge waliopita bila kupingwa majimbo 28 zilikua ni sehem tayari ya kuhakikishia ushindi kwa mgombea wa Urais, maana kazi kubwa iliyokua imebaki ni kumnadi mgombea Urais na madiwani tu. Pia wale wanaopita bila kupingwa ukifirikia hilo jina wanaloitwa kwa tafakari unaona ina impact sana katika kuwapa kura wagombea wa nafasi zingine wa chama husika kweny hayo maeneo.
Kilichoshangza wengi zaidi ni kwenye nafasi za wabunge, kuna wengi najua tuliweka probabilities kwa baadhi ya wabunge wenye majina makubwa wa upinzani kutorudi na wengine kurudi bungeni. Lakini matokeo yametoa utafauti mkubwa sana ambao umeleta mshituko miongoni mwa wagombea, wapiga kura na hata nchi jirani na jumuiya za kimataifa. Kuamini kwamba kweli wameshinda ubunge wapinzani wawil tu ni ngumu sana kuiamini. Ndipo dhama ya kuamini wizi wa kura umefanyika.
Kwa jinsi inavyostaajabisha najua kuna viongozi wa ccm na hata wanachama wanaona aibu kwa kilichofanyika, na hili halileti taswira nzuri sana kwa yajayo ndani ya chama. Nilimsikiliza mchambuzi mmoja wa mambo ya kisiasa akisema "itakua ni changamoti sana kwa serikali ijayo kutekeleza ilani, maana wapo wenyew tu hamna mawazo mbadala wala hakuna kizuizi kama walivyosema kweny kampeni kuwa wapinzani wanachelewesha maendeleo".
Hiki chama badala ya kujengeka zaidi tutarajie mpasuko ndani ya chama. Nachukulia mfano ambao upo kweny maisha ya kila siku, ndugu wengi wakikaa karibu karibu huwa familia inakua na migongano sana mara huyu kamsengenya yule mara tuhuma za kulogana mara hivi mara vile.
Hizi huwa ni kutokana na kukosa mtu au watu ambao wanakua kama ndo common enemy matokeo yake wanakua adui wao kwa wao ndicho kitatokea kwa CCM awamu hii. Watokea watu wataanzisha chama chao kipya na watakua na nguvu sana kwa chaguzi zijazo. 2025 naiona CCM iliyo na makundi na iliyogawanyika kama ya 2015
Una akili ndogo sana, unategemea unaweza kuendesha bajeti ya nchi kwa haya makusanyo hafifu ya Tra.Hoja yako ina mantiki kidogo ingawa ni lazima utambue kuwa wapinzani hawajawahi kuwa na impact yoyote kwa miaka mitano iliyopita. wao ilikuwa ni kupinga kila kitu, kutoka nje ya bunge, kutukana, kujijali wao wenyewe na matumbo yao.
Kazi zote zilifanywa na CCM na ndicho sasa wanakwenda kukifanya. Kipindi hiki tutarajie uchapa kazi uliotukuka na maendeleo chanya zaidi maana wapumbavu hawapo tena.
Ukimfanyia mtu jambo baya ni rahisi kulisahau.Bado tu mnaendeleza propaganda hamjachoka tu
MATAGA hawajaliona hilo.Kuna baadhi ya maeneo kupita bila kupingwa kumetokana na wagombea wa vyama vingine kutekwa, kuwekwa mahabusu kwa kesi feki kupisha muda wa urejeshaji fomu, kuporwa fomu, wapokeaji fomu kukataa kupokea au kotoroka, nk.. Na wananchi wameudhiwa na hizo figisu, so wasingepiga kura zao huko.
Chukulia mfano wa Lindi ambako kulikuwa na wagombea ubunge waliopita bila kupingwa, afu angalia reaction ya wananchi baadaye
Au mtamtuma masanja kuzunguka mabarabarani.Hoja yako ina mantiki kidogo ingawa ni lazima utambue kuwa wapinzani hawajawahi kuwa na impact yoyote kwa miaka mitano iliyopita. wao ilikuwa ni kupinga kila kitu, kutoka nje ya bunge, kutukana, kujijali wao wenyewe na matumbo yao.
Kazi zote zilifanywa na CCM na ndicho sasa wanakwenda kukifanya. Kipindi hiki tutarajie uchapa kazi uliotukuka na maendeleo chanya zaidi maana wapumbavu hawapo tena.
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.Hoja yako ina mantiki kidogo ingawa ni lazima utambue kuwa wapinzani hawajawahi kuwa na impact yoyote kwa miaka mitano iliyopita. wao ilikuwa ni kupinga kila kitu, kutoka nje ya bunge, kutukana, kujijali wao wenyewe na matumbo yao.
Kazi zote zilifanywa na CCM na ndicho sasa wanakwenda kukifanya. Kipindi hiki tutarajie uchapa kazi uliotukuka na maendeleo chanya zaidi maana wapumbavu hawapo tena.
😂😂Ikiwa nitakuwa mkweli kwako, kwa maoni yangu mwenyewe kwa unyenyekevu mkubwa bila ya kuegemea upande wowote wala kuwa na shaka, bila kumkosea mtu yeyote ambaye anafikra tofauti na maoni yangu mwenyewe, lakini pia kwa kuangalia jambo hili kwa mtazamo tofauti, ningependa kukufahamisha kuwa sina la kusema!
Ngoja na Mimi nifanye hvyoDu nimecoment ili niweze kuwa sehemu ya kumbukumbu mara hii thread itakapo ibuliwa kwa marejeo. Nawasilisha hoja
Siku zote wabunge makini wa upinzani ndo huwakilisha wananchi.. wabunge mataga wanawakilisha na kutetea serikali kwa mambo yote, hata maovu!MATAGA hawajaliona hilo.
Sekta binafsi iko hoi, naamini kwa sasa hakuna wa kuwasemea bungeni, biashara zilizo nyingi zitakufa kabisa.