Nadhani nchi nyingi duniani. Ukiachana na Ulaya....na nchi chache Asia..
But honestly I'm proud of Southern Africa countries.... South Africa, Zambia, Namibia and Botswana...more especially SA and Botswana.
Democracy is not something you preach....you must live it and practice it.
Binafsi sijawahi kukaa chini serious eti nijadili siasa... kwa mtizamo wangu najua sehemu tatizo lilipo.
Mfumo mzima wa maisha ya Mtanzania hauna demokrasia... Kupanda mabasi tunagombania... Queues za zahananati tayari ndugu yake daktari alishaambiwa ukifika mlangoni nibeep nikupitishe....Queues za mabenki tellers wanawatu wao....utasimama kwenye mstari hadi utakapoanza kulalamika ndiyo wanaanza kuwahudumia...
The system is broken...hatuna ule utamaduni wa kuheshimu taratibu zilizowekwa....
Cha kushanganza hata anayevunja taratibu hashangawi na wanaomwangalia.... kutokufuata taratibu na sheria kumeshakua taratibu.
Watu wanamna hii wanashindwa vipi kuiba kura...na wanaoshuhudia kura zinaibiwa kwao sio tatizo ......
Bongo kwenda Temeke anayewahi kupanda daladala ni yule mwenye nguvu....watoto wanakua wanaona yanayofanyika....everything is about Competitiveness...ukiwapa ofisi ni kushindana tu.....