Taswira za wana JF , imaginary ghost?

Taswira za wana JF , imaginary ghost?

Nimepotea because Nilikuwa naangalia uwezekano wa makombora ya kim huku Pyongyang
 
Acha kunifuatilia fuatilia kwenye anga zangu we kizee me na ww si tumeshashindwana
Tena achana naye kabisa huyo jamaa... atakuambukiza...

Usije sema sijakuonya
 
Hebu niambieni na mimi huwa nina taswira gani jamani"?
Hornet mdada makamo ya 30-35 kibonge kiasi, ni mrembo ila haendekezi sana urembo yuko bize mno kutafuta hela. Ni mkarimu ila sio mcheshi sana, yuko siriaz kimtindo
 
Kwa wale ambao hatujawahi kuonana humu na wale ambao hamjawahi kukutana na taswira ya Kasie kwenye mitandao ya kijamii kama wasap na kwingineko.

Jaribu kuelezea Kasie taswira yake atayepatia nampa nafasi ya kupata nae mlo wa mchana au wa usiku siku nikiwa off kwenye hoteli yoyote atayoichagua. Kwasababu mie ndo natoa ofa gharama zinakuwa kwangu.

Angalizo: usije na ID mchepuko yako kujieleza hapa wewe ambaye unanijua tulishaonana au ulishakutana na taswira ya Kasie huko. Nikigundua basi ofa inaghairishwa. Karibuni.
Na kwa alie nje ya dar je?
 
Hornet mdada makamo ya 30-35 kibonge kiasi, ni mrembo ila haendekezi sana urembo yuko bize mno kutafuta hela. Ni mkarimu ila sio mcheshi sana, yuko siriaz kimtindo
Umekosea hapo,
I do lough a lot ila siyo muongeaji sana,mpaka niwe na mood.
Vingine umepatia 100%
 
Back
Top Bottom