Taswira za wana JF , imaginary ghost?

Taswira za wana JF , imaginary ghost?

Tunafahamiana , tumezoeana na ikitokea akakosekana mtu humu kwa muda mrefu tunaulizana huyu miss chagga mbona hapatikani JF? au waungwana Miss Bantu au MziziMkavu siku hizi hatumuoni humu kulikoni? na kiukweli kabisa tunafahamiana kama ma ghost maana kila mtu ana taswira yake ndio maana tunapokutana kwa bahati mbaya huwa tunabaki kushangaa '' ha! huyu ndio Heaven Sent kweli mbona bonge? ni kwa mfano ukutane na mshana jr akiwa kavaa kama ustadhi au mchungaji si utakataa!! maana taswira uliyonayo kuhusu mshana jnr ni kumuona akiwa na machale na hirizi shingoni au Mzizi mkavu akiwa na tenga la dawa za kisunna. Imagine ukutane na miss changa akiwa kafungasha na guu la bia si utakimbia maana taswira uliyonayo labda ni kuwa na flat screen na miguu miwa!! imagine!!
Yangu vipi mkuu waionaje
 
Naomba yoyote aeleze taswira yangu kulingana na maandishi yangu, kadri utakavyokuwa unapatia ndivyo dau la zawadi yako litazidi kuongezeka....

NB: Kwa wanaonifahamu hawahusiki humu na ni marufuku kunong'onezwa na wanaonijua.
Nimekupatia!
 
Kwa wale ambao hatujawahi kuonana humu na wale ambao hamjawahi kukutana na taswira ya Kasie kwenye mitandao ya kijamii kama wasap na kwingineko.

Jaribu kuelezea Kasie taswira yake atayepatia nampa nafasi ya kupata nae mlo wa mchana au wa usiku siku nikiwa off kwenye hoteli yoyote atayoichagua. Kwasababu mie ndo natoa ofa gharama zinakuwa kwangu.

Angalizo: usije na ID mchepuko yako kujieleza hapa wewe ambaye unanijua tulishaonana au ulishakutana na taswira ya Kasie huko. Nikigundua basi ofa inaghairishwa. Karibuni.
Kasie Me Najaribu Kutokana na Nionavyo Wewe

Ni Aged Kidg Siyo Sana Uko Less than 52 yrs Unavaa Miwani na Hereni

Mavazi Unapendeza Ukivaa Kama Angel Kairuki but Unapendelea Kuvaa Simple Simple kabila Nahisi ni Muhaya But Ushawahi Kuishi Kagera na Bukoba

Personal Appearance Una Muonekano Kama Wa Mama Salma Kikwete

Matatizo Uliyonayo Ni Mwili Mkubwa Umejiachia Sn
Kutokana Na Kuwa Bussy Na Mishe mishe Za Maisha Una Pressure ya Kupanda, na Alleged na Mazingira ya Vumbi
Una Ndugu Au Mtu Ambaye Unamgharamia KWENYE Masomo

Hivyo Ndivyo Nionavyo Cc: Kasie
 
Tunafahamiana , tumezoeana na ikitokea akakosekana mtu humu kwa muda mrefu tunaulizana huyu miss chagga mbona hapatikani JF? au waungwana Miss Bantu au MziziMkavu siku hizi hatumuoni humu kulikoni? na kiukweli kabisa tunafahamiana kama ma ghost maana kila mtu ana taswira yake ndio maana tunapokutana kwa bahati mbaya huwa tunabaki kushangaa '' ha! huyu ndio Heaven Sent kweli mbona bonge? ni kwa mfano ukutane na mshana jr akiwa kavaa kama ustadhi au mchungaji si utakataa!! maana taswira uliyonayo kuhusu mshana jnr ni kumuona akiwa na machale na hirizi shingoni au Mzizi mkavu akiwa na tenga la dawa za kisunna. Imagine ukutane na miss changa akiwa kafungasha na guu la bia si utakimbia maana taswira uliyonayo labda ni kuwa na flat screen na miguu miwa!! imagine!!
Ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom