Taswira za wana JF , imaginary ghost?

Taswira za wana JF , imaginary ghost?

Basi fanya hima umalizie hamu yako kabla hujazidiwa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babu hujambo!?[emoji137] [emoji137]
 
Mimi Taswira yangu au mfano kama vile unavyo muona Mzee wa busara Mheshimiwa Aliyekuwa Waziri Mkuu wakati wa Utawala wa Rais Kikwete Mzee Lowasa nina Mamvi teleee......😀😀😀 Umri tena unakwenda zake.............
Bila kusahau tenga la dawa[emoji23][emoji23]
 
Namuhicgi spy uyu.

Kwanini unanihisigi vibaya ndugu yangu, mimi nimefirisha tu kichwa changu nakuiona familia kubwa ya wana JF wanaopendana kujaliana , watani , lakini wasio fahamiana kama mazombi, kiukweli kama kuki organaiziwa kongomano la wana JF wote na tukapewa fursa ya kujitambulisha kiukweli wengi wetu tutaishia kutoa macho kama vyura kwa mshangao .... by the way mimi sio Spy
Namuhicgi spy uyu.
 
I love you kassie.
Nikiona tu post yako mboan najawa na ny*****eeee afu najenga hema hatari.
I dont know why. Think about me the lovely Kassie.

Have a nice weekend.

Saint One.....

Unanipa mawazo ujue. ....

Fanya hima basi. ..... sababisha tufanye 2018 iwe yetu.

I return the affection warm tenderly love hugs and kisses to you all over thus week end.
 
Na kwa alie nje ya dar je?

Ofa iko palepale. ..... naweza kukufata ulipo au nikalipia gharama za nauli ya kuja na kurudi dar na malazi siku 2. Itategemea na nafasi yangu ya kuwa bongo na nafasi ya mshindi.
 
Back
Top Bottom