Naona umeomba poo kijanja. Basi wacha nikusitiri mtoto wa kihehe usije ukajinyonga[emoji23] [emoji23] umeambiwa taswira we babu sio picha khaa
Ha ha .Niweke picha yako?
Mxxxxxieeeeee...kaoneI love you kassie.
Nikiona tu post yako mboan najawa na ny*****eeee afu najenga hema hatari.
I dont know why. Think about me the lovely Kassie.
Have a nice weekend.
Nyoo niache hukoNaona umeomba poo kijanja. Basi wacha nikusitiri mtoto wa kihehe usije ukajinyonga
Acha kunifuatilia fuatilia kwenye anga zangu we kizee me na ww si tumeshashindwanaTongoza tongoza oyee
Tena achana naye kabisa huyo jamaa... atakuambukiza...Acha kunifuatilia fuatilia kwenye anga zangu we kizee me na ww si tumeshashindwana
Sawa sawa babu...shikamoooTena achana naye kabisa huyo jamaa... atakuambukiza...
Usije sema sijakuonya
Nipigie chapuo basi kwa @kassieMxxxxxieeeeee...kaone
Njia gani hiyo?Hapana ipo njia rahisi zaidi ya kukupata wakiamua
Utaniambukiza nini wewe andunje.Sawa sawa babu...shikamooo
Na kwa alie nje ya dar je?Kwa wale ambao hatujawahi kuonana humu na wale ambao hamjawahi kukutana na taswira ya Kasie kwenye mitandao ya kijamii kama wasap na kwingineko.
Jaribu kuelezea Kasie taswira yake atayepatia nampa nafasi ya kupata nae mlo wa mchana au wa usiku siku nikiwa off kwenye hoteli yoyote atayoichagua. Kwasababu mie ndo natoa ofa gharama zinakuwa kwangu.
Angalizo: usije na ID mchepuko yako kujieleza hapa wewe ambaye unanijua tulishaonana au ulishakutana na taswira ya Kasie huko. Nikigundua basi ofa inaghairishwa. Karibuni.
Location, IP address na mawasiliano ya watu wako wa karibuNjia gani hiyo?
Poa.... mzima?Sawa sawa babu...shikamooo
Huu ni mwanzo wa mtongozano kiutu mzimaWewe PM yako umefunga labda uanze wewe kuniPM
Nikipatia utanipa nini? TehHebu niambieni na mimi huwa nina taswira gani jamani"?
Umekosea hapo,Hornet mdada makamo ya 30-35 kibonge kiasi, ni mrembo ila haendekezi sana urembo yuko bize mno kutafuta hela. Ni mkarimu ila sio mcheshi sana, yuko siriaz kimtindo
Mzima..nmekuham tuPoa.... mzima?