Ntarudi kuleeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikipatia utanipa nini? Teh
Wewe mbona kama kapeaceSawa apa ntaota umeninunulia gari itabid tufanye haraka dream zikamilike[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
SioWewe mbona kama kapeace
Pouwa
Kassie utamweza ww ila mnaweza kuendana mapigo yenu mana yeye kibibi na wew kibabuNipigie chapuo basi kwa @kassie
Yangu vipi mkuu waionajeTunafahamiana , tumezoeana na ikitokea akakosekana mtu humu kwa muda mrefu tunaulizana huyu miss chagga mbona hapatikani JF? au waungwana Miss Bantu au MziziMkavu siku hizi hatumuoni humu kulikoni? na kiukweli kabisa tunafahamiana kama ma ghost maana kila mtu ana taswira yake ndio maana tunapokutana kwa bahati mbaya huwa tunabaki kushangaa '' ha! huyu ndio Heaven Sent kweli mbona bonge? ni kwa mfano ukutane na mshana jr akiwa kavaa kama ustadhi au mchungaji si utakataa!! maana taswira uliyonayo kuhusu mshana jnr ni kumuona akiwa na machale na hirizi shingoni au Mzizi mkavu akiwa na tenga la dawa za kisunna. Imagine ukutane na miss changa akiwa kafungasha na guu la bia si utakimbia maana taswira uliyonayo labda ni kuwa na flat screen na miguu miwa!! imagine!!
Ha haha, haya ngoja nianzeNtarudi kuleeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niaje jose, ulipotea kinomaMpango mkakati bado unaendelea tu?
Wapi nimekoseaUmekosea hapo,
I do lough a lot ila siyo muongeaji sana,mpaka niwe na mood.
Vingine umepatia 100%
Mimi nishakuona...
You exceeded my expectations at the rate that I could not imagine.
Hahahahahaa looh sema ukweli.....
I did not meet your expectations. ....
It's the op
Mshana bwana!Location, IP address na mawasiliano ya watu wako wa karibu
Hujambo rafiki?Haha kumbe wako shosti
Nimekupatia!Naomba yoyote aeleze taswira yangu kulingana na maandishi yangu, kadri utakavyokuwa unapatia ndivyo dau la zawadi yako litazidi kuongezeka....
NB: Kwa wanaonifahamu hawahusiki humu na ni marufuku kunong'onezwa na wanaonijua.
Akiamka anakutana na ndoto.Ntategea muda atakao kuwa amelala ndo nikwambie jinsi ya kuniota.
Ushindi nitautangaza kule lindoni kwa popoz na bundiz.Nimekupatia!
Inna hako kazee kanasemaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kassie utamweza ww ila mnaweza kuendana mapigo yenu mana yeye kibibi na wew kibabu
Kasie Me Najaribu Kutokana na Nionavyo WeweKwa wale ambao hatujawahi kuonana humu na wale ambao hamjawahi kukutana na taswira ya Kasie kwenye mitandao ya kijamii kama wasap na kwingineko.
Jaribu kuelezea Kasie taswira yake atayepatia nampa nafasi ya kupata nae mlo wa mchana au wa usiku siku nikiwa off kwenye hoteli yoyote atayoichagua. Kwasababu mie ndo natoa ofa gharama zinakuwa kwangu.
Angalizo: usije na ID mchepuko yako kujieleza hapa wewe ambaye unanijua tulishaonana au ulishakutana na taswira ya Kasie huko. Nikigundua basi ofa inaghairishwa. Karibuni.
Ha ha ha ha haTunafahamiana , tumezoeana na ikitokea akakosekana mtu humu kwa muda mrefu tunaulizana huyu miss chagga mbona hapatikani JF? au waungwana Miss Bantu au MziziMkavu siku hizi hatumuoni humu kulikoni? na kiukweli kabisa tunafahamiana kama ma ghost maana kila mtu ana taswira yake ndio maana tunapokutana kwa bahati mbaya huwa tunabaki kushangaa '' ha! huyu ndio Heaven Sent kweli mbona bonge? ni kwa mfano ukutane na mshana jr akiwa kavaa kama ustadhi au mchungaji si utakataa!! maana taswira uliyonayo kuhusu mshana jnr ni kumuona akiwa na machale na hirizi shingoni au Mzizi mkavu akiwa na tenga la dawa za kisunna. Imagine ukutane na miss changa akiwa kafungasha na guu la bia si utakimbia maana taswira uliyonayo labda ni kuwa na flat screen na miguu miwa!! imagine!!