Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Taja watatu nikupe zawadi...Kuna member humu huwa nikisoma post zake Kama namuona vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja watatu nikupe zawadi...Kuna member humu huwa nikisoma post zake Kama namuona vile.
Khaaa...!!!Nilikuota siku moja na taswira yako ninayo kichwani
Khaaa marufuku kuota waume za watuNilikuota siku moja na taswira yako ninayo kichwani
Umejuaje kama amefungaWewe PM yako umefunga labda uanze wewe kuniPM
Taswira yangu Kasie ni mdada mmoja hivi wa mjini mchangammfu ila hana marafiki anaofuatana kama kumbikumbi, ana mwili wenye nyamanyama kidogo yaani sio kimbaumbau sana wala sio kibonge. Ni nadhifu ila yuko simpo sio mtu wa kujikandika mamekapu, mawigi na mahereni makubwamakubwa...nimepatia eeh?[emoji85] [emoji85]Kwa wale ambao hatujawahi kuonana humu na wale ambao hamjawahi kukutana na taswira ya Kasie kwenye mitandao ya kijamii kama wasap na kwingineko.
Jaribu kuelezea Kasie taswira yake atayepatia nampa nafasi ya kupata nae mlo wa mchana au wa usiku siku nikiwa off kwenye hoteli yoyote atayoichagua. Kwasababu mie ndo natoa ofa gharama zinakuwa kwangu.
Angalizo: usije na ID mchepuko yako kujieleza hapa wewe ambaye unanijua tulishaonana au ulishakutana na taswira ya Kasie huko. Nikigundua basi ofa inaghairishwa. Karibuni.
Taswira yangu Kasie ni mdada mmoja hivi wa mjini mchangammfu ila hana marafiki anaofuatana kama kumbikumbi, ana mwili wenye nyamanyama kidogo yaani sio kimbaumbau sana wala sio kibonge. Ni nadhifu ila yuko simpo sio mtu wa kujikandika mamekapu, mawigi na mahereni makubwamakubwa...nimepatia eeh?[emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] amini nakuambia sijaambiwa na mtu.Hahahahaaa wewe utakuwa umenong'onezwa....
Hakuna tatizo ngoja nifanye uhakiki wangu kisha ntarudi, umepatia kiasi si vyote japo asilimia kubwa ni kweli.
Taswira yangu Kasie ni mdada mmoja hivi wa mjini mchangammfu ila hana marafiki anaofuatana kama kumbikumbi, ana mwili wenye nyamanyama kidogo yaani sio kimbaumbau sana wala sio kibonge. Ni nadhifu ila yuko simpo sio mtu wa kujikandika mamekapu, mawigi na mahereni makubwamakubwa...nimepatia eeh?[emoji85] [emoji85]
Mwenyewe kasema asilimia kubwa nimepatia acha roho mbayaUmekosea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuota siku moja na taswira yako ninayo kichwani
[emoji23] [emoji23] amini nakuambia sijaambiwa na mtu.
Mwenyewe kasema asilimia kubwa nimepatia acha roho mbaya
Usijali nafanya uhakiki wangu ntarejea baadae.