dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
kwel kamanda nimeona maji yamefika ukingoni na siwez kufa kisabuniMkuu naona kimekuumba mpaka unachapia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwel kamanda nimeona maji yamefika ukingoni na siwez kufa kisabuniMkuu naona kimekuumba mpaka unachapia.
Haha acha uchokoziMkuu naona kimekuumba mpaka unachapia.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] nkwambie ukoje mana huaminig kama nakujua?
Una macho ya kurembua[emoji3] [emoji85] [emoji124] [emoji124]Enhe niambie[emoji144]
Sawa apa ntaota umeninunulia gari itabid tufanye haraka dream zikamilike[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Haha kaa nalo kwanza ...ndoto badooHa ha ha,
Chukua kabisa hiyo hapo chini.
![]()
Haha kaa nalo kwanza ...ndoto badoo
Iwe ya nn tenaa?Ha ha ha!
Ila ndoto ya kweli inabidi isiwe vitu vya hela.
Daah asalaleh!!!Una macho ya kurembua[emoji3] [emoji85] [emoji124] [emoji124]
Hata wewe umechapia 'kimekuumba' kamanda ngoma droo sasaMkuu naona kimekuumba mpaka unachapia.
Nmepatia?Daah asalaleh!!!
Hahahaaa kwaiyo mmeumbuana sio?Hata wewe umechapia 'kimekuumba' kamanda ngoma droo sasa
Iwe ya nn tenaa?
Sawa sawaNgoja, tutaongea kwenye uzi wa usiku kabla ya kulala tujadili nini cha kuota.
Hata wewe umechapia 'kimekuumba' kamanda ngoma droo sasa
Haha sasa mbona na jf usiku wa manena yupooMaana hapa nimeshaona dingimtoto atanuna akijua jinsi utakavyoniota.
Tunafahamiana , tumezoeana na ikitokea akakosekana mtu humu kwa muda mrefu tunaulizana huyu miss chagga mbona hapatikani JF? au waungwana Miss Bantu au MziziMkavu siku hizi hatumuoni humu kulikoni? na kiukweli kabisa tunafahamiana kama ma ghost maana kila mtu ana taswira yake ndio maana tunapokutana kwa bahati mbaya huwa tunabaki kushangaa '' ha! huyu ndio Heaven Sent kweli mbona bonge? ni kwa mfano ukutane na mshana jr akiwa kavaa kama ustadhi au mchungaji si utakataa!! maana taswira uliyonayo kuhusu mshana jnr ni kumuona akiwa na machale na hirizi shingoni au Mzizi mkavu akiwa na tenga la dawa za kisunna. Imagine ukutane na miss changa akiwa kafungasha na guu la bia si utakimbia maana taswira uliyonayo labda ni kuwa na flat screen na miguu miwa!! imagine!!
Haha sasa mbona na jf usiku wa manena yupoo
Mimi mzungu kasoro rangi kamanda hata wewe jiachie tu kiroho safiiiiMaana hapa nimeshaona dingimtoto atanuna akijua jinsi utakavyoniota.