kwa hiyo riwaya yako ndefu
naamini umenielewa, na utabadilika.
Vodacom wanadhamini league na sio mechi.Na wewe unaonekana wala hufahamu maana ya udhamini!! Kukupunguzia muda; subiri siku wacheze Yanga na Simba manake kwa kawaida huwa wanatangaza mapato na mgawanyo halafu stay tuned kama utasikia Vodacom wamepata asilimia fulani!!!!!
Anayeleta story na mboyoyo ndio anahitajika alete evidence.Data zako wewe ziko wapi u must walk the talk...
Watu walikaa majukwaani au walisimama kwenye pitch?Kwa masahihisho. Iringa walingia watu elfu20 na inaezekana walizidi kwani ndio ujazo wake mpirani
Ungeweka vijitada hata kama ni vya kijinga... UKIWAULIZA UKIWAULIZA NDO NINI..??? Haya hao walioulizwa walisema watu walikuwa wangapi?Uongo
Kila alie ingia pale Jangwani ukimuuliza wale watu hawakufika hiyo idadi uliyosema
Hata Diamond anajua hivo
Umeshawahi ona mdhamini wa namna ya VODA anachukuwa kiingilio? Liku kuu Tanzania Bara, VODA huwa wanchukua kiingilio cha mlangoni..?? Faida anayopata mdhamini kama VODA ni kuitangaza biashara yake..Kwa walioiñgía samora ñi watu 10000
Hesabu hivi 10000x10000=100,000,000 hizi pesa anaechukua ni voda au diamond
Mm nilishasema kwa hapa TZ hakuna msanii wa level ya chibu dangote yuko juu wakina kiba badala ya kuwa wabunifu wamekalia kuunda makundi ya kumkosoa chibuChibu anafanya mziki biashara na ndio maana anafanikiwa sana hao wengine biashara ya mziki hawaiwezi
!Vodacom wanadhamini league na sio mechi. Kaoge
Nina maswali mengi sana kwako,lakini nimeogopa kwenda kwenye maswali moja kwa moja kwa vile sijui kiwango chako cha elimu,vipi elimu yako ni ya kiwango gani ........ ili nisikuulize maswali wengine wakasema nimekuonea kwa kukupa maswali magumu ????Inauma ehhe...Diamond anasisitiza sana kuwa yeye ni sukari ya warembo, kwa maana kila mshabiki wa diamnd ni mrembo, hata wewe danya uliyekuja kwa jina la Pistmshai...ambaye ni mwanachama mzoefu ukajiunga tena dec mwaka huu, ona aibu
jiwe limerushwa kwa Danya wewe linakupataje?
watu wanaweka picha mpaka za Mungu na Yesu na Muhammad kwenye nyumba zao, mioyo yao na kila mahali na bado wanafanya mambo machafu tu
Nisiweze mimi kutokutoa kauli za kukufurahisha kwa sababu ya avatar ya malcom x? who is he by the way? ndiye aliyesema ukubali kuwa mshabiki wa diamond wakati yeye mond anasema ni sukari ya warembo? umejitukana au umejidhalilisha!!
ungetakiwa ku protest na kumwambia Diamond afute huo usemi, sasa aidha kwa sababu wewe ni mrembo kweli huwezi, au kwa sababu haujitambui unashindwa kuamua, au si riziki unashabikia tu
Be a man stay strong! mtu anaongea kauli za kudhalilisha unashabikia tu, akikuvua nguo je?? mwangalie
una lingine sema tu
Kwahiyo ndio kusema hela si ya MOND,ila ni ya Mkubwa fella na Babu tale si ndio .........???Mkubwa fella,salam na tale bdo hawajachukua chao hapo
Mimi niliingia pale,mbona sijaona huyo muulizaji nami nimjibu .......??Uongo
Kila alie ingia pale Jangwani ukimuuliza wale watu hawakufika hiyo idadi uliyosema
Hata Diamond anajua hivo
Ushahidi gani sasa? Kwamba kama ni kweli kulikuwa na show Iringa?Hayo ni maelezo tunahitaji ushahidi, no data no right to speak.
Hahaha hahhahahah hahhahahah.. We jamaa umefanya nicheke mpaka machozi yatokeUshahidi hesabia watu wote kwenye picha za show Anza na Iringa
Kilichofanya huddah asije in wcb kushindwa kumlipa dau alilotakaKilichofanya huddah asije ni figisu za mama tee and nothing else.
Lete ww ukweli wako..weka hoja tukuskilize,,usbishe bishe tu bila fact, #@Uongo
Kila alie ingia pale Jangwani ukimuuliza wale watu hawakufika hiyo idadi uliyosema
Hata Diamond anajua hivo
Simple tu jibu lake..unachukua ww#@Kwa walioiñgía samora ñi watu 10000
Hesabu hivi 10000x10000=100,000,000 hizi pesa anaechukua ni voda au diamond