Tathimini Ya show Ya Diamond Dar na Iringa

Tathimini Ya show Ya Diamond Dar na Iringa

Mwenye show ndio boss, Msanii ni mwajiriwa tu.

Makubaliano yanafanyika, boss anamlipa Msanii, Msanii anaingia jukwaani.. Boss anakusanya viingilio na kuweka kwenye account yake, period
 
Na wewe unaonekana wala hufahamu maana ya udhamini!! Kukupunguzia muda; subiri siku wacheze Yanga na Simba manake kwa kawaida huwa wanatangaza mapato na mgawanyo halafu stay tuned kama utasikia Vodacom wamepata asilimia fulani!!!!!
Vodacom wanadhamini league na sio mechi.
 
Uongo
Kila alie ingia pale Jangwani ukimuuliza wale watu hawakufika hiyo idadi uliyosema
Hata Diamond anajua hivo
Ungeweka vijitada hata kama ni vya kijinga... UKIWAULIZA UKIWAULIZA NDO NINI..??? Haya hao walioulizwa walisema watu walikuwa wangapi?

Maandishi yansema uwezo wa akili ya mtu
 
Kwa walioiñgía samora ñi watu 10000
Hesabu hivi 10000x10000=100,000,000 hizi pesa anaechukua ni voda au diamond
Umeshawahi ona mdhamini wa namna ya VODA anachukuwa kiingilio? Liku kuu Tanzania Bara, VODA huwa wanchukua kiingilio cha mlangoni..?? Faida anayopata mdhamini kama VODA ni kuitangaza biashara yake..
 
Chibu anafanya mziki biashara na ndio maana anafanikiwa sana hao wengine biashara ya mziki hawaiwezi
Mm nilishasema kwa hapa TZ hakuna msanii wa level ya chibu dangote yuko juu wakina kiba badala ya kuwa wabunifu wamekalia kuunda makundi ya kumkosoa chibu
 
Vodacom wanadhamini league na sio mechi. Kaoge
!

That's one lakini kwa ujumla wake unafaa kupuuzwa manake wala hufahamu kwamba hizo mechi ni sehemu ya ligi kama ilivyo kwa show. Na nimekutajia mechi ya Yanga na Simba kwa sababu huwa zinatangazwa mapato na mgawanyo wa mapato otherwise, unaweza kutumia the entire league!
 
Inauma ehhe...Diamond anasisitiza sana kuwa yeye ni sukari ya warembo, kwa maana kila mshabiki wa diamnd ni mrembo, hata wewe danya uliyekuja kwa jina la Pistmshai...ambaye ni mwanachama mzoefu ukajiunga tena dec mwaka huu, ona aibu

jiwe limerushwa kwa Danya wewe linakupataje?

watu wanaweka picha mpaka za Mungu na Yesu na Muhammad kwenye nyumba zao, mioyo yao na kila mahali na bado wanafanya mambo machafu tu

Nisiweze mimi kutokutoa kauli za kukufurahisha kwa sababu ya avatar ya malcom x? who is he by the way? ndiye aliyesema ukubali kuwa mshabiki wa diamond wakati yeye mond anasema ni sukari ya warembo? umejitukana au umejidhalilisha!!

ungetakiwa ku protest na kumwambia Diamond afute huo usemi, sasa aidha kwa sababu wewe ni mrembo kweli huwezi, au kwa sababu haujitambui unashindwa kuamua, au si riziki unashabikia tu

Be a man stay strong! mtu anaongea kauli za kudhalilisha unashabikia tu, akikuvua nguo je?? mwangalie

una lingine sema tu
Nina maswali mengi sana kwako,lakini nimeogopa kwenda kwenye maswali moja kwa moja kwa vile sijui kiwango chako cha elimu,vipi elimu yako ni ya kiwango gani ........ ili nisikuulize maswali wengine wakasema nimekuonea kwa kukupa maswali magumu ????
 
Uongo
Kila alie ingia pale Jangwani ukimuuliza wale watu hawakufika hiyo idadi uliyosema
Hata Diamond anajua hivo
Mimi niliingia pale,mbona sijaona huyo muulizaji nami nimjibu .......??
 
Back
Top Bottom