Mr come down
Member
- Dec 5, 2016
- 61
- 30
Mfano mdogo ligi kuu Vodacom (VPL) Voda wao wanachukua nn ?? Mambo mengne yahtaj kujiongeza tu.Wewe unadhani Voda wanachukua hela Hapo? Kwa akili yako tuuu ndogo katika mkataba alio Ingia diamond nani wakulipwa? VODA wao ni kupata wateja wapya,kuwathamini wateja waliopo na kuuza bidhaa zao
ticha frank nakuona una kula buyu tu hivi unajua umeleta gundu ad walimu wenzio wa art hawatopata ajira mpaka 2019Kilichofanya huddah asije in wcb kushindwa kumlipa dau alilotaka
mbona pesa kiduchu hyo nik kupa kilo 150 za unga kesho unanunua tabata yoteKipaji chako ndo utajiri wako, WCB hongera zao sio jambo rahis kuingia mamilion Kama hayo ndani ya siku mbili
Ni ndogo sawa lkn angalia imeingia kwa siku ngapi , afu kaingz kwa njia halalimbona pesa kiduchu hyo nik kupa kilo 150 za unga kesho unanunua tabata yote
si pekee kumbuka wap member wcb na wenyew wana mtonyo wao.....Ni ndogo sawa lkn angalia imeingia kwa siku ngapi , afu kaingz kwa njia halali
Nina maswali mengi sana kwako,lakini nimeogopa kwenda kwenye maswali moja kwa moja kwa vile sijui kiwango chako cha elimu,vipi elimu yako ni ya kiwango gani ........ ili nisikuulize maswali wengine wakasema nimekuonea kwa kukupa maswali magumu ????
Acha uongo hizo gharama za ulinzi, usafiri wa lwrnda na kurudi kundi lote, matangazo ni nani analipa?Wanacho Faidika voda ni kujitangaza na kuuza sana bidhaa zao! Kama vile ilivyo ligi kuu Vodacom
Aiseee pole sana, fanya mpango uongeze kiwango chako cha elimu,kwa jinsi unavyoonekana bado unaweza kurudi kwenye mstari hujapotea sana. Lakini nakusii,usije ukaongea huu utumbo wako mbele ya mambumbumbu wenzako maana wenyewe hawatajua kama kiwango chako cha elimu ndio tatizo,watahisi unawafanyia kusudi.Darasa la.saba A, huna.ubavu huo rafiki, I bet
na wewe mrembo?
Kwani kuna msanii ambaye pesa anayoipata haigawanywi ........???si pekee kumbuka wap member wcb na wenyew wana mtonyo wao.....
Sasa wewe unayeujua ukweli si ndio useme ni nani anayelipa ........??Acha uongo hizo gharama za ulinzi, usafiri wa lwrnda na kurudi kundi lote, matangazo ni nani analipa?
Alitaka ngapi,na WCB walikusudia kumpa ngapi .......??Kilichofanya huddah asije in wcb kushindwa kumlipa dau alilotaka
Kwa nyongeza tu... hivi ndivyo entertainment business inavyoenda! Ukiwa msanii ukaingia kwenye mkataba wowote wakati hujui utapata nini na utapoteza nini na compensation ya unachopoteza itakuwa vipi... basi hesabu umeumia!
Usipofahamu hilo, ndipo pale utasikia Mzee Mutta (wa FM) ni mtu wa dhuluma... kumbe tatizo sio Mzee Mutta bali watu walioingia Mkataba na Mutta hawakufahamu watapata nini na watapoteza nini!!!
Pole sana Saida Karoli, ulikuwa na watu wasiofahamu haya mambo yanaendaje!!!
Mkataba wa Diamond na Vodacom as brand ambassador tayari ulishaingiza mgongano wa kimaslahi kwa shughuli zote ambazo zingefanywa na Washindani wa kibiashara wa Vodacom.
Case study hapa ni Fiesta!
Kwavile Fiesta mwaka huu ilidhaminiwa na Tigo; tayari ilishaleta mgongano wa kimaslahi kwa Diamond kwa kuwa Tigo ni mshindani wa Vodacom!!!
But Diamond nae muziki ndio kazi yake... sasa kama asishiriki Fiesta kwavile tu mdhamini ni mshindani wa kibiashara wa Vodacom... what next?! Nami nazitaka pesa za Fiesta halafu wewe unaniambia nisishiriki!
Jibu ni very simple: Tunakuandalia show ya kwako! Unakosa Fiesta na pesa zake unapata Vodacom Beach part na pesa zake!!
Tunapiga hatua kubwa hivi sasa kwenye tasnia ya burudani na kwa hilo ni wakati sasa wa kuwa na entertainment lawyers vinginevyo wasanii wataendelea kukosa haki zao nyingi sana huku wenyewe wakidhani wanapiga pesa!
Ushahidi wa watu wangapi waliingia na kiasi gani cha pesa kilipatikana otherwise hizi ni Ngonjera tu.Ushahidi gani sasa? Kwamba kama ni kweli kulikuwa na show Iringa?
Au ushahidi kwamba Vodacom wamehusika kwenye hizo show?
Yaani team tembo hamueleweki.....!
ha ha ha haSawa Mkweli wewe.....Walienda Dodoma Basi
Mkuu wewe ndo hujanielew hakuna sehemu nimeandika Voda ila tu namkosoa mtoa mada hela zote hizo sio za diamond peke kuna crew kubwa nyuma yake.. Wote wana mgao wao hapoNa wewe unaonekana wala hufahamu maana ya udhamini!! Kukupunguzia muda; subiri siku wacheze Yanga na Simba manake kwa kawaida huwa wanatangaza mapato na mgawanyo halafu stay tuned kama utasikia Vodacom wamepata asilimia fulani!!!!!
Come on sweetheart... acha kumlisha danya maneno! Hajasema kwamba pesa zote ni za Diamond... ni nani angesema zote ni za Diamond wakati inaeleweka Diamond ana watu nyuma yake?! Hiki ndicho amesema:Mkuu wewe ndo hujanielew hakuna sehemu nimeandika Voda ila tu namkosoa mtoa mada hela zote hizo sio za diamond peke kuna crew kubwa nyuma yake.. Wote wana mgao wao hapo
Alichosema ni kwamba, pesa inaingia WCB na sio kwa Diamond!Kifupi katika tathimini ninayo ileta Pesa Iliyo patikana ni itaingia moja kwa moja Katika Lebal ya WCB na Itafuata mkataba unavo sema kwa ma meneja!