Ule uwanja haufiki hiyo idadi ya 60,000. Acha kukaririUle uwanja unabeba watu zaidi ya 60,000 na jana umeonesha kujaa kabisa, ajabu kwenye hesabu za Simba kuna pungufu ya watu 15000
Rudieni piga hiyo photoshop
Amejipambanua hivyo lakini amehitimisha kwa kuruhusu hata wewe utoe tathimini yakoMkuu mi nishabiki wa Yanga ila ulichoandika sio tathimini bali uzi wa kuisifia Yanga.
Hata wewe mkuu hujaelewa!!!Hii sio tathmini huu ni ushabiki wa upande mmoja
Anatuambia manara ni shushuDaaaah [emoji23][emoji23]
Lini Yanga alichelewa kutolewa CAF?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Research gaps zimeisha .....labda tufanyeje research ya kwann Simba itatolewa mapema michuano ya CAF kuliko yanga [emoji23][emoji23]
Mmeyakanyaga.Lini Yanga alichelewa kutolewa CAF?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na tutawashangazaaa.Mmeyakanyaga.
Poleeeeeeeeh tunakiwasha had Semi finalMwaka huu....ramli zangu zinaniambia mtakata Moto mapema zaidi