Tathimini yangu Kati ya Simba Day na Yanga Day

Tathimini yangu Kati ya Simba Day na Yanga Day

Ule uwanja unabeba watu zaidi ya 60,000 na jana umeonesha kujaa kabisa, ajabu kwenye hesabu za Simba kuna pungufu ya watu 15000

Rudieni piga hiyo photoshop
Ule uwanja haufiki hiyo idadi ya 60,000. Acha kukariri
 
Research gaps zimeisha .....labda tufanyeje research ya kwann Simba itatolewa mapema michuano ya CAF kuliko yanga [emoji23][emoji23]
Lini Yanga alichelewa kutolewa CAF?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka huu.....ramli zangu znanoambia Simba mtakata Moto mapema zaid
 
Lini Yanga alichelewa kutolewa CAF?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka huu....ramli zangu zinaniambia mtakata Moto mapema zaidi
 
Back
Top Bottom