Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
CCM bila polisi CCM ni wepesi kama buaKinachofurahisha zaidi ni kuhusu hoja ya CCM kukubalika na kutokubalika katika Jamii.
Ningekuelewa kama ungesema Chadema ina uwakilishi katika kila kitongoji Tanzania. Lakini haya ya mitandaoni ni kama kufunguwa akauti INSTA, halafu una posti vitu vya jirani.
Lengo la chadema ni kutawala nchi kwa kushika dola na si kutawala mitandaoni na kwenye mijadalaJe ni kwanini mara zote Chadema inatamba kwenye mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vy
Huna hojaLengo la chadema ni kutawala nchi kwa kushika dola na si kutawala mitandaoni na kwenye mijadala
Hata ISIS,BOKO HARAM NA AL SHABAB walitawala mitandao na mijadala.
Kwa muda mrefu wapinzani mmetegeme kushida uchaguzi Kwa kutumia mbinu za ujanja ujanja. Matumaini yenu mmeyaweka kwenye miji mikubwa yenye wakazi wengi mkisahau kuwa watu wengi wa mijini ni wavivu kupanga foleni na kupiga Kura kama walivyo wenzao wa vijijini.Kuwa na wawakilishi kila kitongoji haimaanishi kuwa unakubalika. Unaweza kuwa muwakilishi pekee kwakuwa hakuna mbadala. Kwani ww ukienda uwanjani ukawa peke yako kisha akafunga goli, ni kuwa ww ni mshambuliaji mahiri?
Absolutely trueView attachment 1324583
Baada ya kufanya upembuzi yakinifu kuhusu siasa za Tanzania nimeona kwa macho yote kwamba Chama cha siasa cha kisasa cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Ndio chama kilichotamba mitandaoni kwa kujadiliwa mara nyingi zaidi kuliko chama chochote cha kisiasa nchini Tanzania, huku kwa mbali kikifuatiwa na chama cha ACT WAZALENDO , hasa baada ya kumsajili Jabali Maalim Seif, kilichoshangaza ni nafasi ya 3 kushikwa na Jeshi la Polisi hasa kutokana najeshi hilo kuvunja katiba ya nchi makusudi kwa kuwakamata wanasiasa hata kwenye masuala halali ya kisiasa , kitendo ambacho kimetafsiriwa kama ni jeshi hilo kuchukua nafasi ya CCM, hasa baada ya chama hicho kuishiwa hoja na kubaki na vitisho pekee.
Je ni kwanini mara zote Chadema inatamba kwenye mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari dunia nzima?
View attachment 1324582
View attachment 1324583

Nimecheka kwa dharau sana !Hivi unadhani ungekubalika ungeandika uzi mrefu hivi. Nakumbuka nilikuja Tz 2014. na Dr slaa alikuwa anapendwa sana. Kwa hoja nzito bila matusi. Niliona mwelekeo na sio tu kwa maneno yake Bali kama Mbunge alisaidia maendeleo ya jimboni kwake. Sasa hivi mmebaki watu wa maneno tu. Kelele na kujitungia mauzi marefu. Na mnachoniboa mmesahau kuwa kwanza Nchi. Then Vyama. You a lot more stupid than you think.
Pamoja na kukubalika kote huko bado mkakimbia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa! Pia ndio chama kilichoongoza kwa madiwani wake na wabunge wake kujiuzulu na kuhamia CCM! Ahahahaha!