Tathmini : 2019 CHADEMA iliendelea kutawala mitandaoni na kwenye vyombo vyote makini vya habari vya ndani na nje ya Nchi

Tathmini : 2019 CHADEMA iliendelea kutawala mitandaoni na kwenye vyombo vyote makini vya habari vya ndani na nje ya Nchi

Dhana yako ya kuhusu CHADEMA kutawala kwenye vyombo vya habari ''makini'' ni hoja yenye mapungufu mengi. Sitaki kuchambua sana mapungufu yake kisiasa kwa sababu unachokisema ni uongo.

Ninapenda kuongelea hii hoja ya CCM kuhusu kukubalika na kutokubalika nchini.

Hoja ya msingi sio kukubali pekee bali kukubalika katika makundi yote kwa kiwango gani ukilinganisha na CHADEMA.

Utafiti unatuonyesha CCM inakubalika kwa kiwango kikubwa katika makundi yote ukilinganisha na CHADEMA

Angalia hili utafiti la TWAWEZA kuhusu kiwango cha kukubalika katika makundi yote ukilinganisha na CHADEMA.
.
Huu ni utafiti wa lini? Isijekuwa ni baada ya kumnyanganya passport yake yule jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1324583

Baada ya kufanya upembuzi yakinifu kuhusu siasa za Tanzania nimeona kwa macho yote kwamba Chama cha siasa cha kisasa cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Ndio chama kilichotamba mitandaoni kwa kujadiliwa mara nyingi zaidi kuliko chama chochote cha kisiasa nchini Tanzania, huku kwa mbali kikifuatiwa na chama cha ACT WAZALENDO , hasa baada ya kumsajili Jabali Maalim Seif, kilichoshangaza ni nafasi ya 3 kushikwa na Jeshi la Polisi hasa kutokana najeshi hilo kuvunja katiba ya nchi makusudi kwa kuwakamata wanasiasa hata kwenye masuala halali ya kisiasa , kitendo ambacho kimetafsiriwa kama ni jeshi hilo kuchukua nafasi ya CCM, hasa baada ya chama hicho kuishiwa hoja na kubaki na vitisho pekee.

Je ni kwanini mara zote Chadema inatamba kwenye mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari dunia nzima?


View attachment 1324582
Lugha inaleta taabu au ni uelewa mdogo? Kweli kutoa taarifa kama hiyo unahitaji upembuzi yakinifu? Upembuzi yakinifu? are you serious?

Tatizo ni hadithi za kuaminisha watu kwamba Chama cha upinzani ni CHADEMA tu! Huyo anayefanya utafiti akashindwa kuona ACT ilivyoshika Pemba, atakuwa ni mtu duni tu.
 
Lengo la chadema ni kutawala nchi kwa kushika dola na si kutawala mitandaoni na kwenye mijadala
Hata ISIS,BOKO HARAM NA AL SHABAB walitawala mitandao na mijadala.
Jamaa anataja mitandao utadhani ni zile kura za Big brother! Yaani unapigiwa kura mara nyingi na wa-TZ wenzako. CDM ni hayo hayo! Hutakuta mchaga akiongelea kingine na bahati mbaya wanaamini mwaka huu CAHDEMA itashinda kura za urais.
 
Jamaa anataja mitandao utadhani ni zile kura za Big brother! Yaani unapigiwa kura mara nyingi na wa-TZ wenzako. CDM ni hayo hayo! Hutakuta mchaga akiongelea kingine na bahati mbaya wanaamini mwaka huu CAHDEMA itashinda kura za urais.
Ruhusu siasa za majukwaani siyo mnabweka tu , Magufuli hakuwa mjinga kuleta udikteta , anajua nguvu ya Chadema , usicheze na tofauti kati ya kura mil 10 na hizo alizoambulia jiwe 3 unusu
 
Mwanzi1,
Magufuli hakushinda uchaguzi 2015 , usiwaone watu mabwege , utawekewa matokeo halisi hapa halafu uanze kutafuta watekaji , kuangukia pua 2015 ndio kumemfanya Magufuli afute harakati za kisiasa nchini , waulize wakubwa zako wakuambie .

Haha, watanzania sio wajinga. Huwezi kuwaimbia Lowassa ni fisadi namba moja halafu ghafla kawa msafi anashika bendera ya chama. Kura zote walizopata Chadema ni batili maana wanachi walijazwa mauwongo mengi ambao wengi ukiwauliza leo kama wanaweza kupigia kura Chadema tena watakataa.
 
Back
Top Bottom