Tathmini : 2019 CHADEMA iliendelea kutawala mitandaoni na kwenye vyombo vyote makini vya habari vya ndani na nje ya Nchi

Huu ni utafiti wa lini? Isijekuwa ni baada ya kumnyanganya passport yake yule jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha inaleta taabu au ni uelewa mdogo? Kweli kutoa taarifa kama hiyo unahitaji upembuzi yakinifu? Upembuzi yakinifu? are you serious?

Tatizo ni hadithi za kuaminisha watu kwamba Chama cha upinzani ni CHADEMA tu! Huyo anayefanya utafiti akashindwa kuona ACT ilivyoshika Pemba, atakuwa ni mtu duni tu.
 
Lengo la chadema ni kutawala nchi kwa kushika dola na si kutawala mitandaoni na kwenye mijadala
Hata ISIS,BOKO HARAM NA AL SHABAB walitawala mitandao na mijadala.
Jamaa anataja mitandao utadhani ni zile kura za Big brother! Yaani unapigiwa kura mara nyingi na wa-TZ wenzako. CDM ni hayo hayo! Hutakuta mchaga akiongelea kingine na bahati mbaya wanaamini mwaka huu CAHDEMA itashinda kura za urais.
 
Jamaa anataja mitandao utadhani ni zile kura za Big brother! Yaani unapigiwa kura mara nyingi na wa-TZ wenzako. CDM ni hayo hayo! Hutakuta mchaga akiongelea kingine na bahati mbaya wanaamini mwaka huu CAHDEMA itashinda kura za urais.
Ruhusu siasa za majukwaani siyo mnabweka tu , Magufuli hakuwa mjinga kuleta udikteta , anajua nguvu ya Chadema , usicheze na tofauti kati ya kura mil 10 na hizo alizoambulia jiwe 3 unusu
 
CCM inatumia Koti la dola kujikinga..ila ki uhalisia hamna chama humo.
 
Mwanzi1,
Magufuli hakushinda uchaguzi 2015 , usiwaone watu mabwege , utawekewa matokeo halisi hapa halafu uanze kutafuta watekaji , kuangukia pua 2015 ndio kumemfanya Magufuli afute harakati za kisiasa nchini , waulize wakubwa zako wakuambie .

Haha, watanzania sio wajinga. Huwezi kuwaimbia Lowassa ni fisadi namba moja halafu ghafla kawa msafi anashika bendera ya chama. Kura zote walizopata Chadema ni batili maana wanachi walijazwa mauwongo mengi ambao wengi ukiwauliza leo kama wanaweza kupigia kura Chadema tena watakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…