Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize wajomba zako...baba zako wanaoshabikia Simba nao si ni kina mama? Watakupa jibu...[QUOTE="ngara23, post: 52130411, member: 565550
Mashindano ya akina mama yanaanza lini
Huko Kuna football ⚽ kweli au redeWaulize wajomba zako...baba zako wanaoshabikia Simba nao si ni kina mama? Watakupa jibu...
Hata ww ulikua mama mwaka juzi mara hii umeshasahau...
Ndugu zangu wote wapo Yanga timu ya Wananchi, mabingwa mara 30Waulize wajomba zako na mababa zako wanaoshabikia Simba...kina mama wana majibu...
Waulize waume wa dada zako nao ni kina mama au wao ni ndugu zako...ahahahaaNdugu zangu wote wapo Yanga timu ya Wananchi, mabingwa mara 30
Wewe ni mdada ni haki kufurahia mashindano ya akina mamaWaulize waume wa dada zako nao ni kina mama au wao ni ndugu zako...ahahahaa
Kwa kifupi Sana...Mechi ilikuwa nzuri
Wachezaji wa Yanga wameonyesha ukomavu na uvumilivu hadi nafasi za kufunga zikapatikana
Wachezaji wetu hawana fitness nzuri sana.
Nadhani labda uchovu kushinda ubingwa mara 3 siochezo, hii inasabisha mechi kukosa kasi tuliyozoea
Duke Abuya ni Mchezaji mzuri mno, ametimiza majukumu yake Kwa usahihi.
Azizi ki anahitaji mechi zisizo na pressure ili kurudisha confidence yake, ila Bado yuko poa
Kennedy Musonda amecheza vizuri hapa anadai mkataba mpya, Coach amwamini Musonda ili kumpunguzia Dube pressure ya kuwa striker namba 1
Kibabage amegoma kubadilika, amecheza vibaya sana,
Sio mzuri kwenye kukaba wala kushambulia,
Eng Hersi dirisha dogo ingia sokoni tuletee beki mzawa wa kushoto
Chama fundi huyu sisemi sana, hapaswi kukaa bench anataka mkataba zaidi ya kubakia Yanga
Max, Muda, Dube, Mwamnyeto, Komen, Yao kiwango kizuri mmeonyesha kama kawaida na ndo yalikuwa matarajio yangu
Timu kubwa imechezwa kikubwa, magoli hayana mbambamba kama wale wengine wanaoshiriki mashindano ya akina mama
Yanga bingwa 🏆
Wewe nae hua huna akili mechi za ligi hua zinaombwa kama ndondo yaani ukijisikia tu unaomba mechi?Yanga mngekuwa na akili mngeomba haraka kucheza mechi nyingine ya ligi kabla ya kwenda Algeria. Hiyo kama mngeshinda ingewapa momentum nzuri kuelekea mechi ya CAF na pia kurudisha pressure kwa Simba katika ligi. Risk yake ni kuwa mnaweza kupoteza.
Yanga hua inafunga timu mbovu kama timu yako imefungwa na Yanga imo humo kwa wabovuKwa kifupi Sana...
QUALITY YA WACHEZAJI WA NAMUNGO NI NDOGO MNO NA HAWAKUA NA UTULIVU.
""YANGA WAMEPIGA BOMU MOCHWARI NA WANAJISIFU WAMEUA.""