Tathmini fupi mchezo wa Yanga dhidi ya Namungo

[QUOTE="ngara23, post: 52130411, member: 565550
Mashindano ya akina mama yanaanza lini
[/QUOTE]
Waulize wajomba zako...baba zako wanaoshabikia Simba nao si ni kina mama? Watakupa jibu...
Hata ww ulikua mama mwaka juzi mara hii umeshasahau...
 
Huko Kuna football ⚽ kweli au rede
 
Waulize wajomba zako na mababa zako wanaoshabikia Simba...kina mama wana majibu...
 
Ndugu zangu wote wapo Yanga timu ya Wananchi, mabingwa mara 30
 
Waulize waume wa dada zako nao ni kina mama au wao ni ndugu zako...ahahahaa
 
Wewe ni mdada ni haki kufurahia mashindano ya akina mama
Ugomvi wangu ni wanaume wanaoshiriki mashindano ya akina mama
 
Niko na ww sambamba nawatetea makaka zangu wa simba...na kaka zako...wajomba zako..mababa zako...mashemeji zako uliowageuza kina mama...
 
Kwa kifupi Sana...

QUALITY YA WACHEZAJI WA NAMUNGO NI NDOGO MNO NA HAWAKUA NA UTULIVU.

""YANGA WAMEPIGA BOMU MOCHWARI NA WANAJISIFU WAMEUA.""
 
Yanga mngekuwa na akili mngeomba haraka kucheza mechi nyingine ya ligi kabla ya kwenda Algeria. Hiyo kama mngeshinda ingewapa momentum nzuri kuelekea mechi ya CAF na pia kurudisha pressure kwa Simba katika ligi. Risk yake ni kuwa mnaweza kupoteza.
Wewe nae hua huna akili mechi za ligi hua zinaombwa kama ndondo yaani ukijisikia tu unaomba mechi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…