ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mechi ilikuwa nzuri
Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri
Hii inathibitisha ubora wa ligi
Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine
Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na Chama ambaye sio mzuri kwenye kugongana
Coach afikirie pia kumpumzisha Mudathir anaonekana ametumika sana, anapoza mashambulizi na hapigi penetration pass, nadhani mechi zijazo ajaribu kuanza na Max Nzengeli badala ya Mudathir
Prince Dube anafanya kazi kubwa kiwanjani ila Leo hajapatikana kwenye eneo lake
Wachezaji wa Yanga Sina cha kuwadai, Mimi kama mwana michezo nimeridhika na kiwango cha timu.
League ni marathon natumai uongozi na bench la ufundi litulie tuone mwisho wa msimu tutavuna nini
Yanga Bingwa