Tathmini fupi mechi ya JKT TANZANIA vs Young Africans

Mechi ilikuwa nzuri
Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri
Hii inathibitisha ubora wa ligi

Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine

Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na Chama ambaye sio mzuri kwenye kugongana

Coach afikirie pia kumpumzisha Mudathir anaonekana ametumika sana, anapoza mashambulizi na hapigi penetration pass, nadhani mechi zijazo ajaribu kuanza na Max Nzengeli badala ya Mudathir

Prince Dube anafanya kazi kubwa kiwanjani ila Leo hajapatikana kwenye eneo lake

Wachezaji wa Yanga Sina cha kuwadai, Mimi kama mwana michezo nimeridhika na kiwango cha timu.

League ni marathon natumai uongozi na bench la ufundi litulie tuone mwisho wa msimu tutavuna nini

Yanga Bingwa
 
Attachments

  • IMG-20250210-WA0010.jpg
    IMG-20250210-WA0010.jpg
    63.8 KB · Views: 3
Ila nyie Yanga,hata kama ni utani ila kwa Chasambi mlizidi,dogo mmemuathiri sana kisaikolojia, nadhani karma imefanya kazi yake.
 
Mechi ilikuwa nzuri
Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri
Hii inathibitisha ubora wa ligi

Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine

Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na Chama ambaye sio mzuri kwenye kugongana

Coach afikirie pia kumpumzisha Mudathir anaonekana ametumika sana, anapoza mashambulizi na hapigi penetration pass, nadhani mechi zijazo ajaribu kuanza na Max Nzengeli badala ya Mudathir

Prince Dube anafanya kazi kubwa kiwanjani ila Leo hajapatikana kwenye eneo lake

Wachezaji wa Yanga Sina cha kuwadai, Mimi kama mwana michezo nimeridhika na kiwango cha timu.

League ni marathon natumai uongozi na bench la ufundi litulie tuone mwisho wa msimu tutavuna nini

Yanga Bingwa

Duh, uchambuzi wote huu hujagusia suala la Umri..!

Next time hatukupi nafasi ya kuchambua
 
Kuna wachezaji kila mechi lazima wacheze, hata kama wanaonekana wazi wana fatique au hawawezi kubadilisha matokeo!

Umemtaja Mudathir Yahya!
Ni muda mrefu sasa anaonekana wazi ana fatique, lakini piga ua kila mechi anaanzishwa huku mbadala wake Duke Abuya akisugua tu benchi!

Max Nzengeli ni kiungo mchezeshaji, tangu atoke majeruhi amekuwa haanzishwi! Na badala yake Prince Dube piga ua lazima achezeshwe dakika 90 hata kama hayuko kwenye mchezo!

Kwa hali hii tukikosa ubingwa tutasingizia ligi ni ngumu, au ni uzembe tu wa makocha wa timu kushindwa kupanga wachezaji wazuri wa kuwapa matokeo!
 
Toka niwafahamu mkikutana na timu isiyo na nembo ya gsm mnastruggle sana. Means bila makando kando nyie ni wepesi Kama tissue paper kwenye maji
Kama tunavo struggle kuwafunga 5imba goli 5 wasio na nembo ya GSM
 
Mechi ilikuwa nzuri
Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri
Hii inathibitisha ubora wa ligi

Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine

Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na Chama ambaye sio mzuri kwenye kugongana

Coach afikirie pia kumpumzisha Mudathir anaonekana ametumika sana, anapoza mashambulizi na hapigi penetration pass, nadhani mechi zijazo ajaribu kuanza na Max Nzengeli badala ya Mudathir

Prince Dube anafanya kazi kubwa kiwanjani ila Leo hajapatikana kwenye eneo lake

Wachezaji wa Yanga Sina cha kuwadai, Mimi kama mwana michezo nimeridhika na kiwango cha timu.

League ni marathon natumai uongozi na bench la ufundi litulie tuone mwisho wa msimu tutavuna nini

Yanga Bingwa
Walichokifanya JKT leo kitaalamu kinaitwa operation kata ngebe...

Yanga atatwaa ubingwa ya kunywa supu tu.
 
Mechi ilikuwa nzuri
Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri
Hii inathibitisha ubora wa ligi

Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine

Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na Chama ambaye sio mzuri kwenye kugongana

Coach afikirie pia kumpumzisha Mudathir anaonekana ametumika sana, anapoza mashambulizi na hapigi penetration pass, nadhani mechi zijazo ajaribu kuanza na Max Nzengeli badala ya Mudathir

Prince Dube anafanya kazi kubwa kiwanjani ila Leo hajapatikana kwenye eneo lake

Wachezaji wa Yanga Sina cha kuwadai, Mimi kama mwana michezo nimeridhika na kiwango cha timu.

League ni marathon natumai uongozi na bench la ufundi litulie tuone mwisho wa msimu tutavuna nini

Yanga Bingwa
Yanga wakikutana na timu ambazo hazina ufadhili wa yule muwekezaji wao huwa wanapata wakati mgumu sana
 
Kwa hali hii tukikosa ubingwa tutasingizia ligi ni ngumu, au ni uzembe tu wa makocha wa timu kushindwa kupanga wachezaji wazuri wa kuwapa matokeo!
Benchi la ufundi limebadilishwa last week tu, iweje uwalaumu kocha mpya badala ya kuulaumu I'll uongozi wa timu kuingilia majukumu ya benchi la ufundi....

Kumbuka 'kilichofanywa' leo ni muendelezo wa yaliyofanywa na waliotangulia..

Mpeni timu Magoma ataiongoza vyema bila kuingilia kazi za benchi la ufundi.
 
Kwenye maelezo yangu hakuna mahali nimetaja kocha mpya! Badala yake nimesema "makocha wa timu".
 
Yanga wakikutana na timu ambazo hazina ufadhili wa yule muwekezaji wao huwa wanapata wakati mgumu sana
Simba amefungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5.
Je nae ana udhamini wa GSM?
 
Mechi ilikuwa nzuri
Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri
Hii inathibitisha ubora wa ligi

Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine

Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na Chama ambaye sio mzuri kwenye kugongana

Coach afikirie pia kumpumzisha Mudathir anaonekana ametumika sana, anapoza mashambulizi na hapigi penetration pass, nadhani mechi zijazo ajaribu kuanza na Max Nzengeli badala ya Mudathir

Prince Dube anafanya kazi kubwa kiwanjani ila Leo hajapatikana kwenye eneo lake

Wachezaji wa Yanga Sina cha kuwadai, Mimi kama mwana michezo nimeridhika na kiwango cha timu.

League ni marathon natumai uongozi na bench la ufundi litulie tuone mwisho wa msimu tutavuna nini

Yanga Bingwa
Wachezaji morali iko chini sana, nadhani ni haya mabadiliko ya makocha watatu sasa.
 
Back
Top Bottom