Tathmini fupi mechi ya JKT TANZANIA vs Young Africans

Mechi ilikuwa nzuri
Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri
Hii inathibitisha ubora wa ligi

Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine

Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na Chama ambaye sio mzuri kwenye kugongana

Coach afikirie pia kumpumzisha Mudathir anaonekana ametumika sana, anapoza mashambulizi na hapigi penetration pass, nadhani mechi zijazo ajaribu kuanza na Max Nzengeli badala ya Mudathir

Prince Dube anafanya kazi kubwa kiwanjani ila Leo hajapatikana kwenye eneo lake

Wachezaji wa Yanga Sina cha kuwadai, Mimi kama mwana michezo nimeridhika na kiwango cha timu.

League ni marathon natumai uongozi na bench la ufundi litulie tuone mwisho wa msimu tutavuna nini

Yanga Bingwa
Mwisho wa Msimu mtavuna mabua.😅
 
Yanga leo walicheza kwa Tempo ya chini sana, huwezi shinda kwa timu zinazopaki basi kwa style hii!

Kingine timu yetu inakosa winga zenye makali kwenye one vs one, za kufosi na kutengeneza nafasi tunategemea viongo na mabeki wa pembeni tu kutengeza nafisi, Engeneer inabid achonge na Mc Alger watupe Kipre Junior ataisaidia sana hii timu
 
Una hoja nzuri
 
Back
Top Bottom